Kauli ya Rais Kikwete juu ya milipuko ya Mabomu Gongo la Mboto

na bado yasubirini mengi tu.
juzi si mliona mrs wake naye alimaliza
basi kazi kwenu
tena msiwe karibu na misafara yake.
Itakula kwenu kwa saababu anahakikisha kabla hajatolewa anatoa mamia kwanza..
 
Jamani mwambieni basi aondoke kuna mabomu hayajalipuka bado yanaweza yakamlipukia likatokea balaa juu ya balaa, au anataka tufanye tena uchaguzi wakati kipindi chake hakijaisha???? Mshaurini jamani jamani arudi zake Ikulu maana mengi hayajamalizika kulipuka jana, ohooooooooooooo
 
na bado yasubirini mengi tu.
juzi si mliona mrs wake naye alimaliza
basi kazi kwenu
tena msiwe karibu na misafara yake.
Itakula kwenu kwa saababu anahakikisha kabla hajatolewa anatoa mamia kwanza..

teh kwa hiyo na hiyo ni kaafara tena??? huu urais wa kupewa na sheikh yahaya bwana ....una ada zake??

well JK NI JOKA LA KIBISA HALIN"GATI!!
 
Jamani mwambieni basi aondoke kuna mabomu hayajalipuka bado yanaweza yakamlipukia likatokea balaa juu ya balaa, au anataka tufanye tena uchaguzi wakati kipindi chake hakijaisha???? Mshaurini jamani jamani arudi zake Ikulu maana mengi hayajamalizika kulipuka jana, ohooooooooooooo

Ningekuwa karibu naye ningekanyaga bomu lilipuke tufe naye, Pumbafu JK
 
nikweli ameenda kule na amesema si kweli kwamba mabomu mengine yatalipuka.source tbc
 
Kesho mtarajie Picha kuuuubwa front page Daily News, Mtanzania na Habari leo ikimwonyesha JK akisalimia majeruhi au akizungumza na Majenerali wa Jeshi.

Lengo kuonyesha yuko karibu na wananchi wake.

Hivi kwa nini mabaya huwapata wanyonge tena walio wema huku watesi wakiendelea kutesa??? Kwa nini mabomu yanaiogopa au kuikwepa Ikulu???

Inaniuma kwa sababu nimekesha nawatafuta niece wangu (Kulwa na Dotto) wenye miaka 11. Tumekanyaga kote kuanzia U/taifa, vituo vya polisi, Hospitali ya Amana na Muhimbili lakini hakuna majibu.

Eti leo viongozi wachukue ujiko kwa madhira waliyasababisha wao wenyewe.
Pole sana mkuu, inamaana mpaka sasa hujawapata?
 
mi nadhani bomu moja lijitolee kumuonyesha mfano ilivyokuwa akiwa hapo.....hivi hivi kwa kutembelea hataelewa

Preta, huoni ndo maana kaenda saa hizi? masaa mangapi yamepita toka tukio litokee? hapo ujue kumefanywa kwanza ukaguzi wa hali ya juu kuhakikisha hakuna madhala, ndo yeye anaenda.
huyu naye si njagu? kwa nini hakwenda usiku ule watia moyo wenzake? maana naamini njia za kujikinga anazijua, kwa hiyo isingekuwa issue kwake
 
Nasikia kaenda huko...sasa sijui ni nini kitafata...

Naomba sana aondoke haraka maana kuna mabomu mengi bado yanasubiri kulipuka asije akatuletea balaa la uchaguzi mwingine bureeeeee jamani loh>>>>>>>>:twitch::twitch:
 
Hapana,ndugu yangu usiende huko kwani karibu wanasiasa wote ni washirikina.

Huyo Jile ameona angetaja shehe yahaya tu asingesikia raha mpaka autaje na uislam ama kweli kazi ipo mijitu mibwabwa utaijua tu............
 
Yaani simpendi na sitaki kusikia habari zake :A S 109::A S 109:, kama vipi ungeiondoa hii thread kwani anatia aibu 2, si akamliwaze mamaaa....ambaye amepata ajali.......
 
Preta, huoni ndo maana kaenda saa hizi? masaa mangapi yamepita toka tukio litokee? hapo ujue kumefanywa kwanza ukaguzi wa hali ya juu kuhakikisha hakuna madhala, ndo yeye anaenda.
huyu naye si njagu? kwa nini hakwenda usiku ule watia moyo wenzake? maana naamini njia za kujikinga anazijua, kwa hiyo isingekuwa issue kwake

Kikwete ni msanii tu! Kama unakumbuka wakati wa uokoaji wa wale wachimba madini waliokwama kwenye Mgodi kwa siku 69 Chile, Raisi wao alikuwepo tokea raia wa kwanza hadi wa 32. Sebastián Piñera alionyesha kweli yeye anauchungu na raia wake si huyu Mkwere amekwenda uza sura tu.
 
Ningekuwa na uwezo ningemshauri asiende huko sababu bado yapo mabomu mengi sana hayajalipuka sasa lisije likaibuka balaa kulipuka mbele yake, najua mnafahamu nini kitakachotokea. Ni uchaguzi mpyaaaaaaaaaaaa ndani ya siku 100 jamani. :peace::peace: By the way, leo ni siku ya ngapi tangu jamaa aapishwe jamani????:A S crown-1::A S crown-1::A S crown-1:
 
Wala hakuna haja ya kuunda tume manake hazina tija kwa common mwananchi zaidi ya kuendelea kumkamua tu. Tuichukulie kama ajali ilotokana na uzembe wa serikali na tuishie hapo hapo tu manake hata tukienda mbali, kwa serikali isosikiliza kilio cha raia wake haitakuwa na maana!
 
Jamani mwambieni basi aondoke kuna mabomu hayajalipuka bado yanaweza yakamlipukia likatokea balaa juu ya balaa, au anataka tufanye tena uchaguzi wakati kipindi chake hakijaisha???? Mshaurini jamani jamani arudi zake Ikulu maana mengi hayajamalizika kulipuka jana, ohooooooooooooo
Si afadhali afe yeye...
 
great thinkers
no research, no right to speak.
Tafakari kbala ya kutenda.
Hizi ni fact au chuki binafsi kwa jk
wacheni kumsakama jk bila ya kuwa fact
 
Back
Top Bottom