Kauli ya Rais Kikwete juu ya milipuko ya Mabomu Gongo la Mboto

Kesho mtarajie Picha kuuuubwa front page Daily News, Mtanzania na Habari leo ikimwonyesha JK akisalimia majeruhi au akizungumza na Majenerali wa Jeshi.

Lengo kuonyesha yuko karibu na wananchi wake.

Hivi kwa nini mabaya huwapata wanyonge tena walio wema huku watesi wakiendelea kutesa??? Kwa nini mabomu yanaiogopa au kuikwepa Ikulu???

Inaniuma kwa sababu nimekesha nawatafuta niece wangu (Kulwa na Dotto) wenye miaka 11. Tumekanyaga kote kuanzia U/taifa, vituo vya polisi, Hospitali ya Amana na Muhimbili lakini hakuna majibu.

Eti leo viongozi wachukue ujiko kwa madhira waliyasababisha wao wenyewe.


Pole sana mkuu,naweza kuelewa,niliyoyaona jana usiku wacha tu.
Ipo siku mkuu,yatawafika tu na wao wakiwa kwenye madaraka au wakiwa wametoka.
 
Hakika wapo watanzania ambao uwezo wao ni mdogo hata kufikia kushindwa kutofautisha malengo na sababu za JK kwenda kushuhudia yaliyotokea Gongo la mboto. Kilichotokea gongo la mboto na Mbagala siyo mara ya kwanza kutokea hapa Duniani na imekuwa ikitokea katika nchi zilizoendelea pia kama vile India, Russia, Germany.

JK haendi kugawa fedha anakwenda kuwapa pole waliofikwa na janga pamoja nakujionea hasara iliyosababishwa na mabomu hayo kwa kuwa yeye anawajibika kwa kila Mtanzania ikiwemo wewe mwenye uwezo finyu , Kama akili zako zinakutuma kwamba watendaji wabovu ndiyo wamesababisha janga hili basi nakusihi uende kuanza chekechea kabisa kwa kuwa kwa sasa huna la kuchangia zaidi ya kuishia kulalamika lalamika pasipo kujiuliza na kutafakari mambo.
Usiishie hapo tuu mkuu, washawishi UVCCM waandae maandamano nchi nzima kumpongeza JK kwa kuonyesha kuguswa na tukio la mabomu saa 16 baada ya tukio na akiwa umbali usiozidi km 20. Ameonyesha ukomavu wa kiwango cha juu kwa kutembelea kambi hiyo ya Gongolamboto,na hata kesho yakifumuka mabomu Mgulani ataenda na siku ifuatayo Lugalo pia ataenda kujionea hata ikibidi kambi zote za Dar kwa nyakati tofauti bado ataenda maana yeye ni mtu wa watu. UVCCM wasiikose nafasi hii kumuenzi Rais wao mpendwa.
 
Kama vimabomu vya Gongolamboto mpaka Rais aende, Rais wa somalia atenda mara ngapi? Mwacheni Rais ale keki ya Taifa.
 
NATAMANI MABOMU MENGINE YALIPUKE AKIWA HUKO NA YAMLIPUKIE NA YEYE AONE RAHA YAKE,EEEH NDIO

SI AMELEA WATENDAJI WABOVU SASA NA YEYE APATE raha ya BOMU hiloooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooo
Kumbuka ni Luteni Kanali na mabomu kwake ni kitu cha kawaida.
 
Full smile.....tehe tehe

8D6U0041.JPG
 
TUnakila sabababu ya kudai katiba mpya kwa presha ili iweze kuwawajibisha viomgozi wazembe katika Taifa hili
 
inchi yetu ni ya amani na utulivu uliotukuka. haya mabomu ni ajali tuu kwani walitueleza kuwa baada ya mabomu ya mbagala hakuna milipuko mingine itakayo tokea. sasa tunajiuliza hii tume itakayo undwa itakuja na lipi jipya?
hii tunayojivunia (eti amani na utulivu) ndo inatugharimu sasa. sisi watz ni mambumbumbu, wanafiki, waoga, wajinga, wa*****. laiti kama haya yanayotokea yangetokea nchi zingine sidhani kama yangevumilika. (mabomu, umeme, bei za bidhaa juu, ufisadi, uchakachuaji wa kila kitu n.k) haya yanatosha kabisa kuishinikiza serikali kuondoka madarakani. kweli yaliyosemwa kuwa nchi haitawaliki yanaanza kutimia. najaribu kupika picha kama ningekuwa ndio jk, akianani ningeondoka tuu! kwani nini bana?
 
Kilicho muhimu kwake ni kikosi cha jeshi na si waathirika wa mabomu...... OK..... we shall see...


Hapana,hapa Huyo Dr.Husein inabd amuige baba yake,lazima ajiuzulu km hataki tupange cha kumfanya hatuwezi kuwa tunapoteza watu namali kwa uzembe watu wachache wa nchii hiii
 
Usiishie hapo tuu mkuu, washawishi UVCCM waandae maandamano nchi nzima kumpongeza JK kwa kuonyesha kuguswa na tukio la mabomu saa 16 baada ya tukio na akiwa umbali usiozidi km 20. Ameonyesha ukomavu wa kiwango cha juu kwa kutembelea kambi hiyo ya Gongolamboto,na hata kesho yakifumuka mabomu Mgulani ataenda na siku ifuatayo Lugalo pia ataenda kujionea hata ikibidi kambi zote za Dar kwa nyakati tofauti bado ataenda maana yeye ni mtu wa watu. UVCCM wasiikose nafasi hii kumuenzi Rais wao mpendwa.
mwake sana hii post... tena wachapishe na tisheti za rangi ya kijani na smile kubwa
 
8D6U0041.JPG


Hii picha ni ya Mbagala wakuu enzi hizo Nchimbi Emmanuel akiwa ni naibu waziri Ulinzi.
 
Nilifikiri Rais angeanzia kwanza Wizarani pale kumfaya Waziri wa Ulinzi halafu ndio aende huko Gomz
 
Unataka research gani?
unataka tafakari gani?
wewe una upendo gani?
wewe ulitafakari kabla ya kuposti?
Je wewe umeshafanya research ndio ukapata right to speak?

I am sorry to tell you that wewe ni crap, ndio wewe ni crap... what you see here ni emotions and despair kutokana na rais kuwa mtaalam wa post moterm, na amesema hali sasa ni shwari na watu warejee makwao, wakati huohuo jeshi limesema watu wake mbali kwani bado wanaondoa masalia

I think unanifanya nijiulize sana kama wewe una upendo wa kweli na watanzania wa kawaida na hasa maskini waio na watetezi

sikiliza manzi, naomba uende uwanja wa taifa uone hali
pita muhimbili utoe damu (kuna units chache sana)
nenda gombs uone hali
halafu piga picha kwamba waziri anakula bata
Umenikumbusha jana yuke mshereheshaji mwingine anayeitwa Kova anawaambia watu warudi majumbani huku jeshi linasema watu wasirudi majumbani hali bado si shwari
 
Back
Top Bottom