Kauli ya Lema

Crap. Muulize mamako Makinda kwn anajua madhara yote pamoja na nyodo zake.
 
Mmmmh! 'Great Thinker' umeanza vzr kwa kutupeleka kuwa huenda kuna kitu kidogo kinatembea, sasa tena unaharibu ndugu yangu unapoingiza 'gender' humo, kama kweli ww ni 'GT' hivi kweli unaweza kufikiri kuwa 'fighters' wetu wamepozwa kwa kupewa 'uraia' na mama? Hebu kuwa makini unapoleta mjadala.
 
Mmmmh! 'Great Thinker' umeanza vzr kwa kutupeleka kuwa huenda kuna kitu kidogo kinatembea, sasa tena unaharibu ndugu yangu unapoingiza 'gender' humo, kama kweli ww ni 'GT' hivi kweli unaweza kufikiri kuwa 'fighters' wetu wamepozwa kwa kupewa 'uraia' na mama? Hebu kuwa makini unapoleta mjadala.

a GT would also know how to provoke.
 
MP Lema, umegusa moyo wangu!
Mimi nahitaji copy ya huu ujumbe muhimu. Nitainunua hii CD kwa laki 5 Tsh. Itakuwa rahisi ukituunganisha kupitia kwa Invisible ili tuweze kulipia. Otherwise, kama utapendelea njia nyingine ni vema pia utujulishe.
Nawasilisha.
 
Jamani huyo mama alisema wapeleke ushahidi kwa maandishi hskusema faragha''Mnyonge mnyongeni haki yake mpeni''
 
Kwanza kwa Lema, ulipotaka kutoa ushahidi kuwa Pinda kadanganya bungeni spika akakataa usilonge mjengoni bali mkaonane 'faragha' na huko umpe mambo yako. Na Lissu pia majuzi nimekuona umeng'aka na Ngeleja kudanganya na wewe pia umealikwa 'faraghani' ukampe spika mambo yako; sasa swali - huko faraghani mlifanya nini na matokeo yake ni yapi? Maana huu utakuwa uhuni sasa, waziri anadanganya na nyinyi mambo mnamalizia faraghani.Naombeni jibu hapa jukwaani. Mbona Zitto aliposhambulia uongo wa Karamagi alipigwa chini vikao kibao na hakuitwa faraghani? au ni kwa sababu enzi zile spika hakuwa mwanamama?
nadhani hilo swali umemlenga spika na sio lissu au lema... sasa wao wanahusikaje na yaliyotokea wakati wa zitto au jinsia ya spika?
 
Ukiondoa msitari wa mwisho yani ungekuwa umeleta mjadala mzito kweli! Lakini apa...
 
Idadi ya vichaa Tanzania inaongezeka kila kunapokucha.................au ndio dalili za kukata tamaa ya maisha
 
kazi TISS Ndiyo hiyo unayojaribu kuifanya hapa jamvini, ila sisi tuko mbele ya huu upupu wako, pole ndg yangu. Siku nyingine jaribu kujenga hl
 
Back
Top Bottom