Kauli ya Lema

MP Lema, umegusa moyo wangu!
Mimi nahitaji copy ya huu ujumbe muhimu. Nitainunua hii CD kwa laki 5 Tsh. Itakuwa rahisi ukituunganisha kupitia kwa Invisible ili tuweze kulipia. Otherwise, kama utapendelea njia nyingine ni vema pia utujulishe.
Nawasilisha.
Kama unania ya dhati wasiliana nae 0753 444 443, 0688 111 161 na 0659 173 663 au fika ofisi ya mbunge Arusha Mjini..
 
CDM, Very soon tutakua na Radio yenye mlengo wa mabadiliko ya kweli. . . . .endeleeni kutuunga mkono.
 
CDM, Very soon tutakua na Radio yenye mlengo wa mabadiliko ya kweli. . . . .endeleeni kutuunga mkono.

msichelewe kuifungua,kama kuna njia ya kuchangia kwa simu mtujuze! pamoja tunajua mtabaniwa na wenye mitandao kama enzi za uchaguzi.

Sijapata redio sahihi ya kusikiliza mpaka leo hii,even local TV. hasa kuhusu redio nyingi kipindi cha uchaguzi; takribani redio zote zinawapa airtime kubwa sana ccm, sijui ni uoga au itikadi zao.

Nguvu ya umma itatujenga maskini
 
Ni kweli mkuu Startv wana jaribu jaribu lakini bado hawajawa fair....TBC ndiyo wajigawia CCM...Mfano siku Prof Safari alipo hamia CDM sikumbuki kama taarifa hiyo ilionyeshwa hata kwa sekunde 10, lakini chitambala alipo hamia CCM, taarifa hiyo ilirushwa kwa zaidi ya dakika 2....
 
YEEEESSSSS!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
Kumbe wapo vijana wa kuachia Nchi yangu.
Hata nikifa sawa!!!!
Great!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
 
Leo kwakweli nimejihisi kuwa mimi ni sehemu ya matatizo ya nchi hii..........I cried na kuomba msamaha kwa Mungu.Kwanini Lema na wenzake pekeyao? Mimi nafanyaje? Mwoga?
 
WAKUU HESHIMA MBELE!

Hii nimeipenda. Single hii inapatikana wapi mazee?

Mambo kama haya Komba na TOT yake hawayawezi kabisa. Na hivi ameanza kusinzia bungeni ndio basi tena.

Thanx Lema for doing this.It was sad moments hope sometimes later we will be having democracy in our contry
 
MIstari hi lazima atakuwa ameitunga Sugu. Maana hata style hazijapishana sana. Big up sana.
 
very good! nimechelewa kuisikia lakini ujumbe wake bado ni mpyaaaaaaa!!peoplessssssssssss...
 
12 Reactions
Reply
Back
Top Bottom