Habari wana jf,napendekeza kauli mpya hii waitumie chadema,ninaimani itavuta sana watu kutoka pande zote za nchi.napendekeza chadema watembee nchi nzima kueneza kauli hii mpaka vijijini huku wakifungua matawi kwa fujo ninaamini tutapata wanachama wengi sana.badala ya hamia airtel napendekeza iwe hamia chadema,mnaonaje wana jf wenzangu? Weka mchango wako hapa.
Mkuu naheshimu sana mawazo yako but "People's Power" is the best ever ...
Peoples power imetulia, mengine yanaweaa kuwa swaga za kawaida sana.
hamia chadema.Movement for radical change....nilianza nayo mwaka jana.Hata hivyo kazi iliyoko mbele ni zaidi ya slogan
Kwangu mimi haina ladha mdomoni, imekaa kipashkuna, hiyo labda itumike kwenye ujumbe mfupi SMS kwenye cm kuhamasishana. Act wewe labda Mbowe, Lema au Mnyika. Mbele yako kuna watu elfu 5. Unasemaje/unawaambiaje?...hamiaaaaaah na wao waitike chademaaaah! Hapo ladha hamna.! Then jifanye wewe ndo hao niliotaja hapo juu, then useme peopleeeeezzz! Utasikia pooowerrrh! Hiyo ndo kauli mbiu yetu cc cdm. M4C PEOPLE'S POWER
Vua gamba vaa gwanda
Kwanini
Kwani Mkuu Ritz wewe unawashwa nini, si ungoje huko huko usiamie CDM wakati huu uone cha moto its a WIND OF CHANGE NO BODY EVEN RITZ CAN STOP IT!!!!!
Hapana, mie napendekeza hivi; Wito; PEOPLES POWER! kiitikio; POWER TO THE PEOPLE!Habari wana jf,napendekeza kauli mpya hii waitumie chadema,ninaimani itavuta sana watu kutoka pande zote za nchi.napendekeza chadema watembee nchi nzima kueneza kauli hii mpaka vijijini huku wakifungua matawi kwa fujo ninaamini tutapata wanachama wengi sana.badala ya hamia airtel napendekeza iwe hamia chadema,mnaonaje wana jf wenzangu? Weka mchango wako hapa.
inafaa sana kwa rika zote hata watoto wataenda kuwaambia wazazi wao wahamie CHADEMA!
Hoja imeungwa mkono,ila peopls power bado ina hiti.
pipoooooooz! powerrrrrrrrrrrrrrrrrr.. hii hata mtoto wangu mdogo 2yrs Angel anaijua, hiyo mpya ita-disturb her mind, she is built up 4 cdm.
We huna jipya.Chama cha kigaidi chadema, muda wote wanahubiri machafuko siwapendi hata kidogo