Kauli mbiu mpya ya CHADEMA

Mpigania haki

Member
Apr 10, 2011
53
16
Habari wana jf,napendekeza kauli mpya hii waitumie chadema,ninaimani itavuta sana watu kutoka pande zote za nchi.napendekeza chadema watembee nchi nzima kueneza kauli hii mpaka vijijini huku wakifungua matawi kwa fujo ninaamini tutapata wanachama wengi sana.badala ya hamia airtel napendekeza iwe hamia chadema,mnaonaje wana jf wenzangu? Weka mchango wako hapa.
 
Dogo watu wanajadili mambo ya msingi ya kitaifa wewe unaleta ngonjera...nakushauri nenda pale Makao Makuu ya Chadema Kinondoni Mtaa wa Ufipa kamuone mtu mmoja anaitwa Matola kampe hiyo kauli mbiu yako.
 
Last edited by a moderator:

Mkuu naheshimu sana mawazo yako but "People's Power" is the best ever ...
 
Dogo watu wanajadili mambo ya msingi ya kitaifa wewe unaleta ngonjera...nakushauri nenda pale Makao Makuu ya Chadema Kinondoni Mtaa wa Ufipa kamuone mtu mmoja anaitwa Matola kampe hiyo kauli mbiu yako.

Mambo gani ya Kitaifa mnajadili wakati mnatafuta mbinu ya kumwakyembe Fikunjombe.. Acheni masihara na Watanzania.
 
Habari wana jf,napendekeza kauli mpya hii waitumie chadema,ninaimani itavuta sana watu kutoka pande zote za nchi.napendekeza chadema watembee nchi nzima kueneza kauli hii mpaka vijijini huku wakifungua matawi kwa fujo ninaamini tutapata wanachama wengi sana.badala ya hamia airtel napendekeza iwe hamia chadema,mnaonaje wana jf wenzangu? Weka mchango wako hapa.

Ni ipi hiyo kauli mbiu mpya?
 
Hakuna mbadala wa:
vitendo: Kunja Ngumi
Maneno: Peoples
Majibu: Power (matendo unapiga ngumi juu)
 
Copied man!!! Move move CHADEMA its a wind of change!!!!!!!!!!!! VIVA CDM VIVA FOR THE LIBERATION OF TZ!!!!!
 
Ninapendekeza iwe hivi:

M4C: Chama Mikononi mwa Wananchi!

Maana pana ni kwamba, Wananchi ndiyo wanakijenga chama na kukipa uhai na ndiyo hao hao wenye maamuzi juu hatma ya chama chao. Kifupi, sera kuu nikuendana na matakwa ya Wananchi (Sovereignty) ambao miongoni mwao ni wanachama.

Kaulimbiu hii inakwenda sawia na Ideology ya CDM na pia iko consistent na campaign yao ya sasa ya kutafuta michango toka kwa wananchi badala ya kutegemea ruzuku, fadhila za wahisani na fedha haramu. Mnampa Mwananchi umiliki wa na wajibu wa chama chake.
 
Back
Top Bottom