Jamani hivi Zitto amefanya nini huko Chadema?.. Kwa nini mazungumzo yote ni Zitto hivi Zoitto vile iwakati kauli zote alizotoa inatakiwa kuzikosoa na sii kumyima haki ya kusema alosema ama kufanya anayotaka kufanya maadam havunji ilani ya chama..Hivi Zitto kugombea Uenyekiti imekuwa deal kiasi hiki..Duh.
Hivi, Uhuru wa mwananchi ndani ya Chadema ni Upi?..
Teh teh teh
Unauliza jibu