Kauli hizi za Zitto zinatupa picha gani?

Ama kweli CHADEMA tunaanza na MUNGU kwa kila jambo na tunamaliza na mungu! Suala la zitto CHADEMA tulianza na mungu na tutamaliza na mungu! Zitto ni msaliti mkubwa sana na hata ukifuatilia kufungwa kwa gazeti la mwanahalisi zitto alihusika kutokana na mwanahalisi kutoa taarifa za mawasiliano yaliyofanyika kati ya zitto na Rostam. Zitto hafai kuwa ndani ya chama tena!
 
Kitu kimoja alichoongea zitto humu na ninachokubaliana nea ni kuwa kweli watu wengi wanamu underestimate sana,,,,,they cant measure him up,,,,,,ha ha ha sadly but it is true,,,,,hata mbowe hakutegemea uenyekiti wake ungetishiwa hivyo.......ha ha ha
Its true hata mimi pia naona picha hiyo hiyo mpaka leo ambayo pia ndiyo iliyosemwa kwenye waraka wa Kitila.Kwa ngazi anayopigania kijana huyu kuishika bado ni mchanga sana na si jjuzi, jana leo mpaka kesho kutwa, hata kama ataitaji kupikwa kwa maana kujua jinsi ya kusimama kama kiongozi ni safari itakayo mghalimu miaka mingine kumi na ushee kwenye michezo mibaya na mizuri, inayochefua na kukalaisha, inayoumiza na kupoza, inayotia simanzi na kuleta matumaini, michezo inayotia hofu ya kukata tamaa na kisha kuibua tumaini linalojengwa na wewe mwenye. Anapaswa kupitishwa kwenye machungu kisha ajijue anachokitaka sio starehe ni kitu cha kukimbiwa huku unalazimishwa ukakichukue.

Binafsi namuona ni kijana anayelazimisha na si kulazimishwa.Ukiona mtu anaarika mpaka ma Mr Learned ili washiriki harusi yake ya kupiga vigelegele badala ya kukaa kimya wenye akili zao wajue jinsi gani ya kumsaidia inatia shaka na ndio wenye kuelewa maana wanasema anatufaha kwa ili,na likiisha linalowafaha basi USE and ABUSE INACHUKUA NAFASI YAKE!!!

Naona bado anamuda sana!!akitaka kujua bado anamuda kuanzia sasa ahesabu miaka kumi na tano [15] ndio kidogo watu wenye kumjua sasa watakuwa wameona KAIVA kupewa hicho anchooona anaweza eti kwa kuwa sasa anaona anaweza sababu anaona rika linamsupport.Lika lake na viti anavyokimbilia bado kuna safari ya ukuta wa China!!! ANataka kuwa Rais au Chairman, wakati kwa umri wake huo akikanyagwa kwa bahati mbaya atalusha matusi sembuse kumilki POWER!!

Ataendelea kuwa understimated mpaka atakapo jistukia na kukaa chini na kukubali wazee wampike, sio kupikwa huko kwa COCKTAIL ya masaa mawili na mnene fulani ndio uone wewe wapaswa kupewa POWER!!!NO The boss kijana mwenzangu huyo kama anataka POWER game kwake bado ni ZITO Kama lilivyo jina lake.Cha msingi nikuwa msikivu zaidi,kwa kuwa kama ni kututhibitishia kuwa ANAWEZA alishatuonyesha ushauri wa bure ajue kuwa POWER sio ONE MAN SHOW power ni ARMY SHOW !!Power ni mzigo mzito wenye lundo la CHANGAMOTO zenye kuitaji BUSARA kuliko kujua kuongea sana,au kujua kumanipulate society,Power inataka Uvumilivu,kama upole wa sisimizi na kinyonga, lakini ukali wa Chui na Cobra kwa wakati huohuo.

Power nzuri IKUTAFUTE usilazimishe KUITAKA!!!ukingangania tabia ya Power inakuja na aibu na mambo yenye kutia msongo ambao, wenzetu walipoona walazimisha wamezoea kutaka POWER kwa kutumia mapinduzi wakaona MAPINDUZ YOYOTE KINYUME NA TARATIBU HUSIKA POPOTE PALE IWE NI OFISINI, KWENYE TAASISI AU KATIKA TAASISI YA NDOA BASI HUKUMU YAKE NI MBAYA NA PENGINE KIFO.

Kuna mtu aliambia na Mzee wake mmoja, kijana sikia hapa ulipofika basi panatosha usilazimishe, ukifika muda wako kukipata utakipata na hakuna atakaekuzuia.Aliyeambiwa alikaa chini akatafakari maneno aliyoambiwa na Mzee wake yule na kuamua kusubilia miaka kumi [10] aliyoambiwa, busara ya kusubilia miaka kumi ebu pata picha, leo ndio mtu yuko kwenye chumba na ana uhakika yeye binafsi yake kuwa anaweza, kisha wanatoka wazeee huko wa kutokea wanamwambia dogo sikiliza wewe bado ebu subiria.Hivi imagine THE BOSS wewe una uhakika na issue yako kisha unaambiwa kuanzia leo subiria mpaka cha ten [10] ndi utadaka, acha masiala wewe unaweza kudata, sipati picha MAJOTO yatakayokuzunguka full kufula,nafikilia mdau husika angekuwa akujengwa kuwa na subira VIPANDA uso vingekuwa mzigo na vya kufikia.

Naamini binafsi kuwa TAASISI anazozifukuzia huyu jamaa ni SIO TAASISI YA MTU MMOJA japo MWENYEKITI au RAIS anaonekana ni mmoja lakini nyuma yakekuna lukuki ya TEAM. Je uko tayari kufanya kazi na timu!!Swala la kuweza ni jingine na swala la Utendaji ni Jingine!!! ZItto najua anaweza, lakini Utendaji?Hivi kwenye blood line yake kuna element ya ya UONGOZI kwa vizazi kadhaa huko nyuma au yeye ndio kaanza yeye?
 
Zitto ameanza usaliti kitambo sana,ndo muwasaidie wasiomjua kumjua.mimi nailaum cdm kumchelewesha.walipowapiga chini Mchange kwny uchaguzi ilikuwa ni mda mwafaka kumpiga rubber stamp Zitto kuwa ni mnafiki kama alivyopigwa Shibuda
 
Mkuu umeenda deep sana

kuna matatizo ya kimfumo
tazama CCM ,Nyerere alikuwa kila kitu na aliweza

sasa haiwezekani akaja Nyerere mwingine,nyakati zimepita za
'one man show' lakini bado mfumo uko hivyo

unaona wengine wanamtazama Kikwete kama walivyokuwa wanamtazama Nyerere
matokeo yake ndo haya tunayaona...Kikwete anashangaa wanaomkosoa
hajui kama hajui.....

na hawa kina Zitto simply wanaona wanaweza kwa kutazama mapungufu ya Kikwete..

now hakuna standard rasmi hata ya 'kuweza ikoje'

ni kama mchezaji staa wa kombe la mbuzi anapotaka asajiliwe TP Mazembe.....

anakuwa hajui hasa kiwango kinachotakiwa....na anaona akiendelea kucheza kombe la mbuzi
atashuka kiwango zaidi.......kazi ipo hapo..
 
Unafiki una mwisho, alidhani yeye pekee ndiyo lulu CHADEMA... Majigambo dharau chuki visasi vimemchimbia kaburi la kisiasa.
 
wewe endelea kumchamba mbowe akijamba

zitto atakuwa juu siku zote, hata sifa za viumbe wote wa ukoo wenu ziunganishwe hamfiki hata robo ya zitto

unafiki umewaua na unawapelekesha, moyo wako ni adui
 
wewe endelea kumchamba mbowe akijamba zitto atakuwa juu siku zote, hata sifa za viumbe wote wa ukoo wenu ziunganishwe hamfiki hata robo ya zitto unafiki umewaua na unawapelekesha, moyo wako ni adui
Zitto atakuwa juu yako wewe akikupumulia.Ndani ya Chadema Zitto is history.
 
Back
Top Bottom