Kauli hizi za Zitto zinatupa picha gani?

Jamani hivi Zitto amefanya nini huko Chadema?.. Kwa nini mazungumzo yote ni Zitto hivi Zoitto vile iwakati kauli zote alizotoa inatakiwa kuzikosoa na sii kumyima haki ya kusema alosema ama kufanya anayotaka kufanya maadam havunji ilani ya chama..Hivi Zitto kugombea Uenyekiti imekuwa deal kiasi hiki..Duh.
Hivi, Uhuru wa mwananchi ndani ya Chadema ni Upi?..

Teh teh teh

Unauliza jibu
 
MkamaP,
Mkuu wangu jibu ulokuwa nalo sii kweli wala karibu na ukweli kwa sababu nawafahamu wote Mbowe na Zitto ingawa Zitto sii kwa hivyo..
Mkuu wangu matatizo ndani ya Chadema hayatofautiani sana na yale ya CCM kwa sababu wagonvi ni watu wa chni ambao naweza kusema wanatafuta nafasi au penyo wajipenyeze ktk uongozi..Na siku zote wao hutafuta mchawi wao hivyo kama Zitto ndiye kikwazo basi watammaliza. Nitakubali tu kwamba Mbowe na Dr. Slaa wanahusika kwa sababu wanaachia vitu hivi vikiendelea yaani wana Intertain upuuuzi huu.

Hata huko CCM huwezi kusikia Kikwete akijiingiza katika vita hii ya Ufisadi pamoja na kwamba matatizo yote yana sababishwa na yeye kutoingilia. Wote Wapiganaji na Mafisadi kwa aina fulani wanafikiria kwamba Kikwete yupo nyuma yao hivyo wanaweza kusema wanavyotaka na upande wa pili wasifanye kitu.
Yes, Mbowe wangu sana tu, lakini siwezi kushauri kuingilia upuuzi huu kwa sababu yeye mwenyewe ni target ya baadhi wahusika. Wanachotaka ni kuelewa tu kasimama upande gani. Mgawanyiko ndani ya vyama unatokana na ULIMBUKENI, Ubinafsi na roho ya kwa nini.. hakuna zaidi mkuu wangu ni mila na desturi ya Mdanganyika ambayo imesababishwa na umaskini wa Hali na Mali. Sii CCM, CUF, Chadema TLP NCCR -Mageuzi na kwingineko kote matatizo haya hayakuanza jana toka enzi ya mwalimu...only that mwalimu haku intertain upuuzi.
 
MkamaP,
Mkuu wangu jibu ulokuwa nalo sii kweli wala karibu na ukweli kwa sababu nawafahamu wote Mbowe na Zitto ingawa Zitto sii kwa hivyo..
Mkuu wangu matatizo ndani ya Chadema hayatofautiani sana na yale ya CCM kwa sababu wagonvi ni watu wa chni ambao naweza kusema wanatafuta nafasi au penyo wajipenyeze ktk uongozi..Na siku zote wao hutafuta mchawi wao hivyo kama Zitto ndiye kikwazo basi watammaliza. Nitakubali tu kwamba Mbowe na Dr. Slaa wanahusika kwa sababu wanaachia vitu hivi vikiendelea yaani wana Intertain upuuuzi huu.

Hata huko CCM huwezi kusikia Kikwete akijiingiza katika vita hii ya Ufisadi pamoja na kwamba matatizo yote yana sababishwa na yeye kutoingilia. Wote Wapiganaji na Mafisadi kwa aina fulani wanafikiria kwamba Kikwete yupo nyuma yao hivyo wanaweza kusema wanavyotaka na upande wa pili wasifanye kitu.
Yes, Mbowe wangu sana tu, lakini siwezi kushauri kuingilia upuuzi huu kwa sababu yeye mwenyewe ni target ya baadhi wahusika. Wanachotaka ni kuelewa tu kasimama upande gani. Mgawanyiko ndani ya vyama unatokana na ULIMBUKENI, Ubinafsi na roho ya kwa nini.. hakuna zaidi mkuu wangu ni mila na desturi ya Mdanganyika ambayo imesababishwa na umaskini wa Hali na Mali.

Kikwete ni strong ila watanzia sisi ndio tunambabisha anashindwa kufahamu ukweli ndio maana hakurupuki maana ana taasisi kubwa ya watu milioni 40 hivyo inamuwia ngumu kuujua ukweli kwa sababu watendaji wanaoneana wivu .

Sasa hawa wa CHADEMA watu wasiozidi 40 kuufahamu ukweli na kuchukua hatua sahihi si la mjadala zaidi ya SLAA na MBOWE kuwa mafisadi.
 
Mkandara,

..viongozi wa Chadema haswa wa makao makuu wanapaswa kuachana na makundi wakati wa uchaguzi.

..mimi nimeshangaa sana kusikia viongozi wa kitaifa wana-support na wako kwenye campaign za wagombea mbalimbali ktk uchaguzi mkuu wa Chadema.
 
Dilunga,

Mkuu mimi ndiye nilisema ya kwamba Hamumuelewi Zitto na Zitto alinukuu tu usemi wangu na najua kwa nini alisema hivyo kwani hadi leo hii hakuna mtu anayejua Zitto ana malengo gani na akayaweka hapa bayana na vizuri..

I Have a clue, lakini siwezi kuanza kubwabwaja ovyo wakati sina uhakika..Isipokuwa tu namwomba atulize ball, mambo yanakwenda na wakati na siku zote sii mdomo wala maneno mengi yanayomjenga mtu au legacy ya kiongozi, isipokuwa yale Aloyafanya.
Zitto si lolote wala chochote. Hafai kabisa, ingependeza aende CCM.Kuendelea kuwa CHADEMA ni kuimaliza CHADEMA kisiasa.
 
Huu ni uongo mkomomavu kabisa.

Tatizo la chadema limeanza toka pale Mbowe aliposhika hatamu.akaanza kufanya biashara na chama akijifanya yeye ni SACOS ama DECI yani anapanda na anavuna.
Mbowe anakopesha CHADEMA pesa wanakodi helkopita Mbowe anapaa nayo mwisho anakata posho inayotoka serikalini kwa masikini wakulima walipa kodi kujilipa.

Wasomi walikuwemo enzi hizo wakahoji (KABOURU) wakatimuliwa na kupakwa matope kwamba wanatumiwa na RA.

Akaja Chacha kahoji kilekile , masikini wangu walichomfanya huyu Mungu tu ndio anajua na kamwe damu yake yalilia toka udongoni.

Wakaja akina Mziray nao wakaambiwa ni mawaraka wa RA sijui leo wamepotelea wapi sijui?

Sasa game liko kwa Zitto.Kinachonimaliza zaidi huyu jamaa hata mbinu zake habadili ni ile ile,nafikiri kaikalili vizuri sana.

Wewe unayetaka kupotosha umma kwamba matatizo ya Chadema yameanza leo na Zitto , anka nakushauri urudi library ukafunue vizuri kumbukumbu zako.

Tatizo la CHADEMA ni FISADI MBOWE na FISADI SLAA kushika hatamu.

Ndugu yangu naona huambiliki!!! kwa kuita watu FISADI u mzima!
 
Kikwete ni strong ila watanzia sisi ndio tunambabisha anashindwa kufahamu ukweli ndio maana hakurupuki maana ana taasisi kubwa ya watu milioni 40 hivyo inamuwia ngumu kuujua ukweli kwa sababu watendaji wanaoneana wivu .

Sasa hawa wa CHADEMA watu wasiozidi 40 kuufahamu ukweli na kuchukua hatua sahihi si la mjadala zaidi ya SLAA na MBOWE kuwa mafisadi.
Yawezekana Kikwete ni strong ktk mtazamo wako lakini matokeo yake ni kwamba Ameshindwa..Haijalishi yeye ana nguvu kiasi gani ikiwa kashindwa vita hivi, kama vile Marekani walivyoshindwa Vietnam. He lost the war against Grand Corruption!

Pili, matatizo ya Ufisadi hayapo kwa watu milioni 40 kwani yeye alipochukua urais alitegemea kuongoza watu wangapi?.. Ufisadi unafanywa na watu wachache sana na tatizo sio Ufisadi wao ila hii kuwapa nguvu wao kusimama juu ya vyombo vya sheria. Kama sheria ingekuwa juu yao sidhani kama tungefika hapa tulipo..Haijatokea toka wakati wa Mwinyi au Mkapa. Kifupi JK ana enjoy kuona upuuzi huu laa sivyo ungekwisha shughulikia Ufisadi..

Jokakuu,
Mkuu wangu hayo maneno, inasikitisha sana kuona kwamba ndani ya chama Chadema kulikuwa na watu walio pendelkkezwa na viongozi wa juu, lakini nadhani ndio hatua ya kwanza unapotaka kujenga chama, makosa ni pale tu wao walipokuwa na wagombea tofauti badala ya kuwa na pendekezo moja.
 
Jamani hivi Zitto amefanya nini huko Chadema?.. Kwa nini mazungumzo yote ni Zitto hivi Zoitto vile iwakati kauli zote alizotoa inatakiwa kuzikosoa na sii kumyima haki ya kusema alosema ama kufanya anayotaka kufanya maadam havunji ilani ya chama..Hivi Zitto kugombea Uenyekiti imekuwa deal kiasi hiki..Duh.
Hivi, Uhuru wa mwananchi ndani ya Chadema ni Upi?..

Mkandara,

Tatizo la Zitto halikuanza leo au kwenye uchaguzi wa chadema. Matatizo ya Zitto na wenzake chadema, yalianza mara tu alipoingia kwenye tume au kamati ya madini ya Kikwete na hivyo kuondoa uwezekano wa kuundwa kwa tume huru ya bunge ili kuchunguza barick na buzwagi (huku akipingana na viongozi wenzake ndani ya chadema).

Yaliyofuatia baada ya hapo ni history. Zitto amekuwa na mtazamo wake binafsi katika mambo mengi tu ambao mara nyingi huwa unatofautiana na mitizamo ya chama as a whole.
 
Mwafrika,
Mkuu hapa nakukubali, lakini kwa nini tusizungumzie hayo badala yake ni vita baina yenu ambayo sisi haituhusu!..
Nambie makosa ya Zitto alipokuwa ktk kamati hiyo, Zitto alishindwa kuwakilisha maagizo ganio, Zitto amefanya nini kinyume cha matakwa au malengo ya chama, Zitto ameshindwa kuwakilisha nini na kadhalika nitakuelewa sana tu.
Lakini hizi habari za kuvuana nguo humu, hakuna mtu anayetaka kuona tupu zenu wakuu zangu sote tunazo na hatuhitaji kujua kama mmeenda jando au laa!.
 
Ndugu yangu naona huambiliki!!! kwa kuita watu FISADI u mzima!

We je u mzima? ona sasa leo na jana tu kusema Slaa fisadi unaona si mzima??

Mbona Slaa hujahoji kama ni mzima kawaita watu pale mwembe yanga mafisadi kama angekuwa mzima angetangulia mahakamani na wewe pia ukiwemo kama u mzima.

kwa kiwango hicho hicho alichokitumia na mimi nikiwango hicho hicho natumia .

Utoto bado hujakutoka tu.
 
Zitto!
He has been trapped by invincibility.
It seems he thinks that after what he regards as political/life achievements, failure is the furthest thing in his imagination. At that point he can’t learn much although I can testify that he is still a learner in thinking.

He must have considered things going well for him and just again and again and again he think he is successful, finally he has started to believe that nothing can go wrong.

“The false sense of invincibility can induce risk-taking behaviors that have colossal consequences”.
 
Mwafrika,
Mkuu hapa nakukubali, lakini kwa nini tusizungumzie hayo badala yake ni vita baina yenu ambayo sisi haituhusu!..
Nambie makosa ya Zitto alipokuwa ktk kamati hiyo, Zitto alishindwa kuwakilisha maagizo ganio, Zitto amefanya nini kinyume cha matakwa au malengo ya chama, Zitto ameshindwa kuwakilisha nini na kadhalika nitakuelewa sana tu.
Lakini hizi habari za kuvuana nguo humu, hakuna mtu anayetaka kuona tupu zenu wakuu zangu sote tunazo na hatuhitaji kujua kama mmeenda jando au laa!.

Mkandara,

Sikutaka sana kuongelea makosa ya Zitto baada ya kuingia kwenye kamati maana yanaweza kuchukua kitabu kizima. Nilichokuambia ni kuwa, makosa ya Zitto yalikuwa ni kuingia kwenye kamati in the first place na hivyo kuondoa nafasi kwa tume huru ya bunge kuchunguza Buzwagi.

Walichofanya kamati ya Zitto, hakikuwa tofauti na kilichofanya na kamati kibao tu zilizotangulia. All I can say now ni kuwa, walitumbua pesa za watanzania kwa kitu ambacho kilikuwa kimekwishafanyika tayari - yaani, kutoa mapendekezo ya namna ya kudeal na issue ya madini Tanzania.

Nimekuwa nawauliza Zitto na Omar hapa kuwa kamati ya Bomani ilifanya jambo gani tofauti na kilichofanya na kamati zilizotangulia? so far, sijawahi kupata jibu la hakika.
 
Hapana shaka kuwa Zitto Kabwe ni Muwazi ndio maana tunapata hata mada za kujadili hapa JF na Pia tazama Robo tatu ya posts zote hapa Zinahusu CHADEMA. Ndio maana niliyasema haya kuwa CHADEMA ni Chama Mbadala kwa CCM japo baadhi ya watu walipinga, Tazama wiki nzima iliyopita ilifunikwa na Habari ya uchaguzi wa Chadema na hivyo, CHADEMA wapo imara sana[/QUOTE
WAMESHINDA VITI VINGAPI KWENYE UCHAGUZI WA SERIKALI ZA MITAA?
 
We je u mzima? ona sasa leo na jana tu kusema Slaa fisadi unaona si mzima??

Mbona Slaa hujahoji kama ni mzima kawaita watu pale mwembe yanga mafisadi kama angekuwa mzima angetangulia mahakamani na wewe pia ukiwemo kama u mzima.

kwa kiwango hicho hicho alichokitumia na mimi nikiwango hicho hicho natumia .

Utoto bado hujakutoka tu.

Tukiachana na matusi au kutokubaliana tatizo langu kwako MkamaP, ni hii hali ya kila wakati kuona CCM safi JK safi. Tangu lini ukawa na mtu wa aina hiyo au chama cha aina hiyo.

Jaribu ku-balance mambo na argument ili usionekana kama aliyekuwa mkuu wa Chuo Cha CCM kivukoni.
 
Zitto bei anayo,aache mambo ya kudanganya Watanzania,sisi si watoto wadogo ambao hatuoni yanayoendelea.
 
Mkandara,

Sikutaka sana kuongelea makosa ya Zitto baada ya kuingia kwenye kamati maana yanaweza kuchukua kitabu kizima. Nilichokuambia ni kuwa, makosa ya Zitto yalikuwa ni kuingia kwenye kamati in the first place na hivyo kuondoa nafasi kwa tume huru ya bunge kuchunguza Buzwagi.

Walichofanya kamati ya Zitto, hakikuwa tofauti na kilichofanya na kamati kibao tu zilizotangulia. All I can say now ni kuwa, walitumbua pesa za watanzania kwa kitu ambacho kilikuwa kimekwishafanyika tayari - yaani, kutoa mapendekezo ya namna ya kudeal na issue ya madini Tanzania.

Nimekuwa nawauliza Zitto na Omar hapa kuwa kamati ya Bomani ilifanya jambo gani tofauti na kilichofanya na kamati zilizotangulia? so far, sijawahi kupata jibu la hakika.
Mkuu haya ndio maswali yanayotakiwa... Na ajabu ni kwamba unasema all you can say now ni hivyo tu wakati kodi ya wananchi ilitumbuliwa. Mimi katika kumbukumbu yangu namkumbuka sana Mnyika alipokuwa akipiga vita swala la Zitto kuingia katika kamati ile, na kisiasa hata mimi niliunga mkono, Zitto mwenyewe hakuona makosa hata kidogo..Matokeo yake ndio haya, Zitto amejifunza nini kutokana na makosa yale ndilo swala la kuuliza.. imekwisha tokea.

Pili, nakuomba endeleza maswali ambayo yanajenga mjadala kwa manufaa ya umma hata kama wao watashindwa kujibu ama watakuja mbogo... Sisi wasomaji tutapima majibu yao nahwasa maadam wao wako huko juu ktk kamati ndio rahisi sana kuwaondolea points kama vile Invinsible anavyonilimba mimi kila siku ya Mungu!
Mkuu wangu wewe au mimi hatuwezi kumwondolea Zitto umaarufu isipokuwa yeye mwenyewe.. Kama heshima ilivyo Zitto ndiye pekee anayeweza kujenga au kubomoa umaarufu wake.
 
Yawezekana Kikwete ni strong ktk mtazamo wako lakini matokeo yake ni kwamba Ameshindwa..Haijalishi yeye ana nguvu kiasi gani ikiwa kashindwa vita hivi, kama vile Marekani walivyoshindwa Vietnam. He lost the war against Grand Corruption!

Pili, matatizo ya Ufisadi hayapo kwa watu milioni 40 kwani yeye alipochukua urais alitegemea kuongoza watu wangapi?.. Ufisadi unafanywa na watu wachache sana na tatizo sio Ufisadi wao ila hii kuwapa nguvu wao kusimama juu ya vyombo vya sheria. Kama sheria ingekuwa juu yao sidhani kama tungefika hapa tulipo..Haijatokea toka wakati wa Mwinyi au Mkapa. Kifupi JK ana enjoy kuona upuuzi huu laa sivyo ungekwisha shughulikia Ufisadi..

Jokakuu,
Mkuu wangu hayo maneno, inasikitisha sana kuona kwamba ndani ya chama Chadema kulikuwa na watu walio pendelkkezwa na viongozi wa juu, lakini nadhani ndio hatua ya kwanza unapotaka kujenga chama, makosa ni pale tu wao walipokuwa na wagombea tofauti badala ya kuwa na pendekezo moja.

Mkandara.

Hakuna jamii ngumu ya kuongoza kama jamii yetu watanzania kwa sababu
1.Yawezekana tunaongoza duniani kwa kuwa watu wanafiki kuliko wote duniani.
2. Ni wavivu wenda wa kwanza dunia kufikiri na kutenda
3.ni jamii ya watu yenye watu waoongeaji sana duniani bila kufanya kitu chochote.
4.Ni jamii ya watu tusiopenda maendeleo ya wenzetu.
5. Ni jamii ya watu ambayo inatafuta sehemu tu palipo nakosoro ili kukudhihirishia wewe ni ***** si lolote si chochote.
6. Jamii ya watu inayopenda ufanye kama yeye anavyofikiri si kama wewe unavyofikiri na ukifanya vinginevyo basi wewe ni ***** mjinga na uliyefeli.
7.Ni jamii inayopenda kufurahia pindi unapokwama .

Kwa hiyo jamii kama unapofanya kazi fanya jinsi unavyohisi ni tija na si vile wanavyohisi ,maana jamii hii haifurahii unapofanya mema kwa hiyo kelele na maelekezo ya jamii hiii ni kuhakikisha unafuata maelezo yao na hatimaye udumbukie kabisa kaburini na wakufukie hapo ndo wanalizika.

Kusema Kikwete kashindwa si kweli hii ni dhana dhaifu kabisa ,nitakuwa nawe pamoja ukiniambia WATANZANIA tumefeli na kiongozi akiwa Kikwete.

Hii nafikiri ndiyo kauli mbiu sahihi.
 
Mkuu haya ndio maswali yanayotakiwa... Na ajabu ni kwamba unasema all you can say now ni hivyo tu wakati kodi ya wananchi ilitumbuliwa. Mimi katika kumbukumbu yangu namkumbuka sana Mnyika alipokuwa akipiga vita swala la Zitto kuingia katika kamati ile, na kisiasa hata mimi niliunga mkono, Zitto mwenyewe hakuona makosa hata kidogo..Matokeo yake ndio haya, Zitto amejifunza nini kutokana na makosa yale ndilo swala la kuuliza.. imekwisha tokea.

Ameulizwa hilo swali hapa na hajawahi kutoa straight answer

Pili, nakuomba endeleza maswali ambayo yanajenga mjadala kwa manufaa ya umma hata kama wao watashindwa kujibu ama watakuja mbogo... Sisi wasomaji tutapima majibu yao nahwasa maadam wao wako huko juu ktk kamati ndio rahisi sana kuwaondolea points kama vile Invinsible anavyonilimba mimi kila siku ya Mungu!

Mkandara,

Tofauti yako na mimi ni kuwa, wewe unatumia lugha ya kistaarabu kwa kila jambo. Mimi ninajibu stupidity kwa stupidity. Yaani mimi siamini katika kugeuza shavu la kulia baada ya kusalabwa shavu la kushoto.

Mtu akija kwangu na upuuzi na yeye anapata upuuzi right away. Mtu akija hapa na kudai kuwa chadema ni chama cha kikatoliki au cha kikabila wakati ukweli unaonyesha vinginevyo, unategemea nimjibu nini?

Mtu akijadili issues (kama wewe hapa), atapata majibu mazuri toka kwangu. Lakini akileta pumba na udaku (kama ndugu yangu mkamaP), basi atapata tu pumba na udaku toka kwangu.

Mkuu wangu wewe au mimi hatuwezi kumwondolea Zitto umaarufu isipokuwa yeye mwenyewe.. Kama heshima ilivyo Zitto ndiye pekee anayeweza kujenga au kubomoa umaarufu wake.

Mkandara,

Naona umenunua pia propaganda ya kina Omar kuwa mimi namuonea wivu Zitto kwa umaarufu aliokuwa nao. Kwa taarifa yako, mimi nimewahi kuishi marekani na ulaya kwa muda. Nimejifunza jinsi wanasiasa wanavyoweza kuporomoka ndani ya muda mfupi sana.

Kuna kina Howard Dean (US), Gordon Brown na Tony Blair, Kuna Bush na hata kuna Kikwete wa Tanzania. Umaarufu wa wanasiasa sio kitu cha kuchezea kamari (bet on).

Unaweza kupotea muda wowote - na mara nyingi wanasiasa wanajimaliza wenyewe kama Obama alivyoanza kujimaliza mwenyewe. The same will be kwa Zitto - Buzwagi, Dowans, na kadhalika.

Ninampinga Zitto kama Zitto na wala sijali kama ana umaarufu or not maana Zitto sio MUNGU.
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom