Ee mwenye enzi utuepushe na kikombe hichi cha ccm uliyotupa tunashindwa kuwarithisha hata elimu watoto wetu!!!!
Dr Peter Slaa, usije ukadhubutu ku boycot bunge, utakuwa umewapa zawadi kama ile ya Maalim kutuitambua serikali ya Amani, mpaka mwaka wa mwisho wa amani maalim alivutwa pembeni, akapewa mfupa, sasa mambo poa znz, lakini kwa miaka 9 amani alifanya alichokitaka.
Dr kama vipi wewe ni binadamu, ombeni msaada kwetu wananchi, hebu lieni kuwa mnashindwa kutusaidia kwa kuonewa ovyo na CCM, sisi tutajua la kufanya, jua jua jeshi la watu milioni 50 linalodhulumiwa na CCM & Co, sema nyinyi wakombozi hamtujulishi mkiumizwa, tutatumia kila njia ya kuhakikisha TUKIPIGWA KOFI MOJA, TUNARUDISHA KOFI MBILI ZA HATARI alisema MALCOM X
God Bless Baba Slaa, God Bless Baba Lowassa, God Bless Chadema, God Bless The City of Arusha!!!

Kikombe gani?
Hakuna haki wala mapinduzi yanayoletwa na chama chochote cha siasa, mapinduzi na haki zinatafutwa na wananchi wenyewe pale watapoona wanaonewa na wao wenyewe kuamua kuchukua hatua sahihi za ukombozi.
Dr Peter Slaa, usije ukadhubutu ku boycot bunge, utakuwa umewapa zawadi kama ile ya Maalim kutuitambua serikali ya Amani, mpaka mwaka wa mwisho wa amani maalim alivutwa pembeni, akapewa mfupa, sasa mambo poa znz, lakini kwa miaka 9 amani alifanya alichokitaka.
Dr kama vipi wewe ni binadamu, ombeni msaada kwetu wananchi, hebu lieni kuwa mnashindwa kutusaidia kwa kuonewa ovyo na CCM, sisi tutajua la kufanya, jua jua jeshi la watu milioni 50 linalodhulumiwa na CCM & Co, sema nyinyi wakombozi hamtujulishi mkiumizwa, tutatumia kila njia ya kuhakikisha TUKIPIGWA KOFI MOJA, TUNARUDISHA KOFI MBILI ZA HATARI alisema MALCOM X
God Bless Baba Slaa, God Bless Baba Lowassa, God Bless Chadema, God Bless The City of Arusha!!!
Tunawasihi wabunge wetu muingie bungeni, msivyo fanya hivyo bunge litakosa wasimamizi maana wabunge wa magamba watayavaa bila kuogopa. Ni hakika wabunge wa ukweli ni nyie hata wanamagamba wenyewe wanawafagilia na wanapenda kusikiliza hoja zenu. Wengi wao huwa wanahudhuria ili wapate uhondo wa hoja zenu, ni bora bunge lisiwepo kabisa kuliko kuwaachia/kuwasikiliza magamba.
KUKUSAIDIA...
DR SLAA PIA AMEWATAKA WANANCHI KOTE NCHINI KUANZA MAANDAMANO YASIYO NA KIKOMO KUSHINIKIZA MBOWE AACHIWE HARAKA NA BILA MASHARTI YOYOTE.
SOURCE: CHANNEL TEN, SAA MOJA USIKU.
Ngoja nishuhudie wananchi watakavyoufanyia kazi wito wa Dr.Slaa, au ndio Mbwa asiye na meno.
Wewe umebadirika lini kuionea huruma chadema? Kwanza hawahitaji huruma yako. Mwageni unga na CDM wamwage mboga tuone kama kuna atakaekula.
Sijui rais kikwete anafikiria nini ktk hali kama hii. Kama anataka kuondoka madarakan ni bora aende kimya kimya,lakini ktk hali ya kuleta uhasama kati yetu itamletea matata makubwa sana.
Iko pouwa sana tu mkuu hata usiogope, Mbowe ndo kiongozi wetu bungeni means PM wa kambi ya upinzani, utahudhuliaje wakati kiongozi wako hayupo? Ulishawahi kuona bunge linafanyika bila waziri mkuu kuwepo bungeni hata siku moja??Jamani hii imekaaje kwa wanachadema wenzangu?