Katibu mkuu CHADEMA (Dr. Slaa) atoa tamko

Ee mwenye enzi utuepushe na kikombe hichi cha ccm uliyotupa tunashindwa kuwarithisha hata elimu watoto wetu!!!!
 
acha tukafe kishujaa kwa ukombozi wa Tanzania kuliko kukaa na kusubiri kufa kIzembe kwa malaria ,kipindupindu,ajali ambavyo magamba wameshindwa kuvizuia,sasa lingewekwa tamko rasmi alilotoa raisi wa wananchi dr slaa.kwani nilivyomuelewa kasema kesho wakimpeleka mahakamani wasijaribu kumuwekea vikwazo vyovyote kuhusu kutolewa na wasipofanya hivyo basi kuandamana is inevitable.
pipozzzzzzzzzzz pawaaaaaaaar
 
Tunawasihi wabunge wetu muingie bungeni, msivyo fanya hivyo bunge litakosa wasimamizi maana wabunge wa magamba watayavaa bila kuogopa. Ni hakika wabunge wa ukweli ni nyie hata wanamagamba wenyewe wanawafagilia na wanapenda kusikiliza hoja zenu. Wengi wao huwa wanahudhuria ili wapate uhondo wa hoja zenu, ni bora bunge lisiwepo kabisa kuliko kuwaachia/kuwasikiliza magamba.
 
Dr Peter Slaa, usije ukadhubutu ku boycot bunge, utakuwa umewapa zawadi kama ile ya Maalim kutuitambua serikali ya Amani, mpaka mwaka wa mwisho wa amani maalim alivutwa pembeni, akapewa mfupa, sasa mambo poa znz, lakini kwa miaka 9 amani alifanya alichokitaka.
Dr kama vipi wewe ni binadamu, ombeni msaada kwetu wananchi, hebu lieni kuwa mnashindwa kutusaidia kwa kuonewa ovyo na CCM, sisi tutajua la kufanya, jua jua jeshi la watu milioni 50 linalodhulumiwa na CCM & Co, sema nyinyi wakombozi hamtujulishi mkiumizwa, tutatumia kila njia ya kuhakikisha TUKIPIGWA KOFI MOJA, TUNARUDISHA KOFI MBILI ZA HATARI alisema MALCOM X
God Bless Baba Slaa, God Bless Baba Lowassa, God Bless Chadema, God Bless The City of Arusha!!!
 
Sawa kabisa MAn umesema kweli mapoti wa upande wa Chadema mbona wapo wengi tu!?
 
Dr Peter Slaa, usije ukadhubutu ku boycot bunge, utakuwa umewapa zawadi kama ile ya Maalim kutuitambua serikali ya Amani, mpaka mwaka wa mwisho wa amani maalim alivutwa pembeni, akapewa mfupa, sasa mambo poa znz, lakini kwa miaka 9 amani alifanya alichokitaka.
Dr kama vipi wewe ni binadamu, ombeni msaada kwetu wananchi, hebu lieni kuwa mnashindwa kutusaidia kwa kuonewa ovyo na CCM, sisi tutajua la kufanya, jua jua jeshi la watu milioni 50 linalodhulumiwa na CCM & Co, sema nyinyi wakombozi hamtujulishi mkiumizwa, tutatumia kila njia ya kuhakikisha TUKIPIGWA KOFI MOJA, TUNARUDISHA KOFI MBILI ZA HATARI alisema MALCOM X
God Bless Baba Slaa, God Bless Baba Lowassa, God Bless Chadema, God Bless The City of Arusha!!!

Hakuna haki wala mapinduzi yanayoletwa na chama chochote cha siasa, mapinduzi na haki zinatafutwa na wananchi wenyewe pale watapoona wanaonewa na wao wenyewe kuamua kuchukua hatua sahihi za ukombozi.
 
Wewe umebadirika lini kuionea huruma chadema? Kwanza hawahitaji huruma yako. Mwageni unga na CDM wamwage mboga tuone kama kuna atakaekula.
 
Dr Peter Slaa, usije ukadhubutu ku boycot bunge, utakuwa umewapa zawadi kama ile ya Maalim kutuitambua serikali ya Amani, mpaka mwaka wa mwisho wa amani maalim alivutwa pembeni, akapewa mfupa, sasa mambo poa znz, lakini kwa miaka 9 amani alifanya alichokitaka.
Dr kama vipi wewe ni binadamu, ombeni msaada kwetu wananchi, hebu lieni kuwa mnashindwa kutusaidia kwa kuonewa ovyo na CCM, sisi tutajua la kufanya, jua jua jeshi la watu milioni 50 linalodhulumiwa na CCM & Co, sema nyinyi wakombozi hamtujulishi mkiumizwa, tutatumia kila njia ya kuhakikisha TUKIPIGWA KOFI MOJA, TUNARUDISHA KOFI MBILI ZA HATARI alisema MALCOM X
God Bless Baba Slaa, God Bless Baba Lowassa, God Bless Chadema, God Bless The City of Arusha!!!

Sasa hakuna cha kuomba ni kuchukua kwa nguvu haki inayokuhusu.
 
Tunawasihi wabunge wetu muingie bungeni, msivyo fanya hivyo bunge litakosa wasimamizi maana wabunge wa magamba watayavaa bila kuogopa. Ni hakika wabunge wa ukweli ni nyie hata wanamagamba wenyewe wanawafagilia na wanapenda kusikiliza hoja zenu. Wengi wao huwa wanahudhuria ili wapate uhondo wa hoja zenu, ni bora bunge lisiwepo kabisa kuliko kuwaachia/kuwasikiliza magamba.

Wewe unaelewa huelewi waende kufanya nini bungeni waache majonzi kwao? CCM wamepanga iwe hivyo ili wabunge wa CDM wasusie, wacha wasusie. Kama wanaume wawafukuze wabunge wa CDM halafu uitishwe uchaguzi.
 
KUKUSAIDIA...

DR SLAA PIA AMEWATAKA WANANCHI KOTE NCHINI KUANZA MAANDAMANO YASIYO NA KIKOMO KUSHINIKIZA MBOWE AACHIWE HARAKA NA BILA MASHARTI YOYOTE.

SOURCE: CHANNEL TEN, SAA MOJA USIKU.

Ngoja nishuhudie wananchi watakavyoufanyia kazi wito wa Dr.Slaa, au ndio Mbwa asiye na meno.
 
Mbowe kuachiwa ataachiwa tu tena kwa dhamana hiyo jumatatu,

Siungi mkono maandamano, na wabunge mnahitajika sana bungeni hii susia susia itatucost magamba yatapitisha bajeti za ajabu ohooo!
 
Sijui rais kikwete anafikiria nini ktk hali kama hii. Kama anataka kuondoka madarakan ni bora aende kimya kimya,lakini ktk hali ya kuleta uhasama kati yetu itamletea matata makubwa sana.

Mvunje sheria ya mahakama, halafu mumuingize Kikwete? inahusu nini?
 
Jamani hii imekaaje kwa wanachadema wenzangu?
Iko pouwa sana tu mkuu hata usiogope, Mbowe ndo kiongozi wetu bungeni means PM wa kambi ya upinzani, utahudhuliaje wakati kiongozi wako hayupo? Ulishawahi kuona bunge linafanyika bila waziri mkuu kuwepo bungeni hata siku moja??
 
Ni bora wasiingie bungeni mana hakuna democracy ya kweli wabunge wa CCM wanasubiri posho nakusema kila kitu ndiyoooo....malimbukeni wakubwa hao CCM.
 
4 Reactions
Reply
Back
Top Bottom