Katiba yetu ina double standard?

RUBERTS

Senior Member
Apr 5, 2012
136
50
Hivi katika Tanzania kuna watu wengine wako juu ya sheria? Mbona Andrew Chenge ambaye amethibika kuwa fisadi/mwizi wa fedha za umma hashitakiwi? Ina maana Chenge ameweka serikali mkononi? au Yuko juu ya sheria? Wanasheria wetu wameshindwa kuungana kufungua kesi dhidi ya Chenge? Hakuna vifungu vya kumshitaki? Yaani Chenge amekuwa mtu bora na muhimu kuliko Watanzania wote? Wataalamu wa sheria mko wapi?
 
Back
Top Bottom