Umri, Kama ujafika 18, achana na chuo, kuna uhuru wa ajabu chuoni, na watoto wakipelekwa under age wengi huaribikiwa, ila kama umesoma elimu ya tia maji una miaka 23 huko, soma tu chuo.
Acha kumtisha huyo kijana,we nenda kasome chuo kwa kozi unayoipenda ili ujitegemee mapema......mambo ya umri hayana kitu kikubwa ni wewe mwenyewe kama ushajitambua inatosha
 
Kati ya kwenda hge hgk au kwenda chuo course ya bussness administration au human resource qu accountancy ipi ni bora zaid naombe msaada
Kwa program hizo ulizotaja ni swala la maamuzi tu

Akienda chuo atapata experience ya kazi mapema japo inahitajika pesa nyingi kuliko advance

Akienda advance pia, ni rahisi kupata degree ya hizo program kwa kuwa kufaulu advance ni uhakika, pia vyuo vikuu vya program hizo ni uhakika pia

Laiti ingekuwa program zinazohitaji experience Kama program za afya, au ufundi /engineering kwenda chuo ingekuwa wazo zuri zaidi

Au ingekuwa program hizo Zina ushindani mkubwa vyuo vikuu, basi kwenda chuo ingekuwa Bora zaidi


Binafsi nadhani Cha kuangalia zaidi ni pesa, freedom pamoja na muda wa msomaji
 
Nenda zako chuo, kula bata, jifunze kozi muhim ya afisa ubashiri af rudi kitaa na cheti usubirie bahati.
Kama kwenu kuna kianzio, nenda chuo pata uelewa rudi komaa na biashara za familia n.k.
Kozi gan bora kati bussness administration na accountancy na human resource
 
Kati ya kwenda hge hgk au kwenda chuo course ya bussness administration au human resource qu accountancy ipi ni bora zaid naombe msaada
Mm sioni kama kuna utofauti, kwa sababu hata akienda advance atakuja kusoma course hzo hzo na Tena anaweza kuwa na uwanda Mpana wa kuchagua kulingana na ufaulu wake
Kuhusu chuo, kama mnataka kumpeleka chuo, hakikisheni mmejipanga vya kutosha
My take: aende tu advance
 
Back
Top Bottom