Steve Dii
JF-Expert Member
- Jun 25, 2007
- 6,402
- 1,254
Mtanzania,
Upo sahihi kabisa. Kule Kigamboni kuna "unataped" vast land ni mapori tu watu wanalima embe.
Mpango ya kuwa na "Satelite town" ungeanzia kule wawalipe wananchi fidia mashamba yao watengeneze well plan town kule yenye kila kitu.
U will be surprised to learn that baada ya kukamilika daraja mtu anaishi Kigamboni atasafiri sio zaidi ya 5km kuingia city centre yeye hata mtu anaekaa Mwenge atakuwa mbali na town.
Last time I checked daraja lita cost not more than 60bn Tshs of that 50% ni grant kutoka Dutch Govt sasa hizo 30bn ndio wakubwa pale miundo mbinu wanapigana vikumbo. Doc haisogei bila mtu kuahidiwa kwanza.
Matokeo yake ndio hayo sasa mikontena inalundikana tu na tu a resort tu kwenye mipango yetu ya zima moto sijui task force ku clear containers sijui kamati ya nini yaani kupeana ulaji tu wakati solution imelala ktk makabrasha ofisini mwao.
Masatu, nikisoma mambo kama hayo uliyoandika jazba linanipanda... wewe acha tu... yaani hata mawazo maovu ya kuteketeza viongozi wetu ili kupata maendeleo yananiingia kichwani