Maisha bora kwa kila mtanzania ndio ilikuwa kauli mbiu yao, sasa ivi inawapasa wabadilishe kauli na kusema ni maisha bora kwa kila polisi, hakuna lililo zuri kwa hawa waheshimiwa wenzetu, sio bandari tu bali ni kila kitu. sasa mnalalamika kuusu bandari kwani wakilekebisha huduma za bandarini ndio maisha bora????????hapa la msingi ni tuvumilie mwaka 2015 ufike alafu tuje tujutie wenyewe kwa maamuzi tutakayochukua.