last Commando
JF-Expert Member
- May 13, 2023
- 234
- 301
Salam, wakuu nimeweka picha ya Ramani ya nyumba ninayotaka kujenga mwakani baada msimu wa masika kuisha.
Ningependa kupewa ufafanuzi juu ya gharama zote za ujenzi hadi furniture mpaka kukamilika kwa nyumba hii.
Karibu wadau.
Ningependa kupewa ufafanuzi juu ya gharama zote za ujenzi hadi furniture mpaka kukamilika kwa nyumba hii.
Karibu wadau.