Karibu CCM Fahami Matsawili

Njaa tu hapo ila na mimi nikipat nafas nakula tu hamn namn nani alete uzalendo wakat viongoz wote wanajal matumbo tu mchek le profeser ndo utajua hela kwanz uzalendo kipnd cha nyerere
 
Wakati anagombea bukoba alishiriki kuuza chama chake cha Act na baadhi ya kata akiwa na kina kagasheki na yule diwani wa kata ya bilele wa cuf! Ni mtu tumbo huyu rai so sishangai yeye kutanga tanga
Ahahaha namjua huyu anakuja sana mitaa ya Kitendaguro huku Lugambwa sec kwa mambo yake ya hovyo ya wasichana!

Anapenda sana pesa na nilijua tu lzm atarudi CCM
 
Back
Top Bottom