mugeza
JF-Expert Member
- Jul 25, 2013
- 521
- 260
Hapana angebaki ACT,kwao wapo vizuri vyama vyote wamepitia kutakuwa kuna kitu wanatafuta bado hawajakipata ila huko alikoenda sio wala nini bora angeenda NLD au au chama cha jogoo mzee wa vunjo
Hapana angebaki ACT,kwao wapo vizuri vyama vyote wamepitia kutakuwa kuna kitu wanatafuta bado hawajakipata ila huko alikoenda sio wala nini bora angeenda NLD au au chama cha jogoo mzee wa vunjo
umeandika maneno mafupi yenye maana kubwa sana wazungu wanasema "short and clear"..the Journey of a 1000 miles begins with one step,Hongera Mkuu
hala hala asijekatwa mkia wa mbele! ohooo!Akatwe mkia haraka halafu aingizwe zizini
Acha laana wewe!!! Imeandikwa amelaaniwa amtegemeae mwanadamu na rohoni mwake kumsahau MUNGU, na kila ulimi utakiri, na kila goti litapigwa kwake yeye aliye juu(MUNGU). Hapa sijajua ni JPM yupi kwani wapo wengi, ila kama ni Mh wetu , usimtafutie ugomvi na hasira ya MUNGU ikawaka, MUNGU atatuangamiza kama wakaanani, wahiti na waperizi. Tchaaaa,KWA JPM KILA GOTI LITAPIGWA NA ULIMI UTAKIRI
Kama huwa anapita humu,anastahili kuukataa utukufu kama huu maana maandiko yanasema "kwa Yesu kila goti litapigwa na kila ulimi utakiri" Unless Mungu huwashusha wanaojikwezaKWA JPM KILA GOTI LITAPIGWA NA ULIMI UTAKIRI
Hongera sana kwa katika chama chenye kuheshimu uhuru wa mawazo ya wanachama wake.Ata mimi nimeamia UPDP (chama cha dovutwa),mbona hunipi pongezi mkuu.
Hongera sana kwa katika chama chenye kuheshimu uhuru wa mawazo ya wanachama wake.
Tofauti wenzetu wa ufipah ambao kauli ya Mfalme wa hai inaheshimika kuliko hata katiba ya chama
huyu kijana ndio yule ninayemwona kwenye malumbano ya hoja(ITV) ama nimemfananisha?....
sijakitizama siku nyingi,bado anahudhuria?..nataka nione misimamo yake kwa sasa ikoje..Ndie..
kwa nyakati kadhaa akiendesha harakati zake hapo UDSM ni kiwa mwaka wa kwanza 2012nilipata kumuona revolutionary square nikadhani ni mwanaharakati halisi wa watoto wa masikini muda ulivyosogea nikamuona akitoa chambuzi zake malumbano ya hoja nikadhani CDM au ACT baadae vuguvugu la wakuu wa mikoa na kina hamfrey polepole Nikaelewa sasa dhahiri ni CCM Sasa Kwa watu ambao tu waumini wa umajumuni wa siasa za mabadiliko tunamuona nae ni mwendelezo wa mfumo ulioshindwa wa chama cha kijani ambae amekuwa akijaribu kujipapatua kutoka mkiani mwa vijana waliokosa ajira Muda mfupi ujao atapewa cheo fulani.Huyu dogo nae kimeo tu, na sijawahi kumuelewa , Baba ake ni Diwani WA cuf kata Nyakibimbili na yeye mwanzoni alikuwa CHADEMA baadae akaamia ACT akagombea ubunge Bukoba Mjini akapigwa naona kaamua kuamia kwa CCM, Dogo ungetulia tu
Kumbe mwenge ni wa ccmAjira ni issue, kheri ateuliwe kukimbiza mwenge ale. Wapinzani hawana mwenge! Awasiliane na mwenzetu Dr Bana ampe vitendea kazi