Karibu CCM Fahami Matsawili

Huyu njaa kali tu.
Wakati wa uchaguzi 2015 aligombea ubunge jimbo la Bukoba mjini kupitia ACT ili avuruge uchaguzi wa upinzani. Alichopata anajua mwenyewe na hawezi kurudia.
Kwa taarifa yake tu hata apitie ccm hawezi pata kitu. Njaa inamsumbua sana. Nenda kwa herí ufie huko kisiasa.
 
Acheni sifa za kijinga nyie UVCCM mnajianzishia Thread kujitangaza wakati huyo Fahami ni MwanaCCM tangu pale UDSM!!.

Magufuli anachagua mtu kulingana na Vigezo vyake sio uzoefu wa MwanaCCM ndani ya Chama!!
 
Kama kuna msomi anashawishika kujiunga na ccm hii ya leo bila kurubuniwa kwa fedha na ahadi za fursa za kutoka kimaisha huyo atatakiwa ahakikiwe vyeti vyake toka primary school nina mashaka atakuwa mkimbizi au muhalifu anyejongea kwenye kichaka cha waovu ili kupata hifadhi hapo
Mkuu uko sahihi kabisa, ukichunguza utakuta ni raia wa nchi jirani.
 
kuanzia leo nikikuona unachangia mada yyte kwenye runinga naizima runinga swezi endelea kukuangalia wewe akili huna kijana msomi unajiunga na ccm ? ilo ndo tatazo la kurist mitihani.
 
Juzi juzi tu nimekutana nae anaenda itv kwa miguu amepaukaaaa...ananuka vumbiii..soli chafuuu hata Bajaj ya buku from itv kituoni to studio naona ilimshinda.

Njaa mbaya
 
huyu dogo nakumbuka alikuwa anaogopa sana jarida la Mlimanileo, lilokuwa likitolewa na vijana machachari wa UDSM. Akijiita mwanaharakati wa ukweli, na wao wakamuita mwananyakati. Mlimanileo walimtabiria mapema kuwa yeye ni mwana nyakati.
 
Hongera sana swahiba wangu Fahami Matsawili kwa maamuzi ya Busara, Hekima na uzalendo wa hali ya juu kwa kujiunga na chama cha mapinduzi CCM mapema leo.

Hakika wewe ni mmoja kati ya vijana wachache wasomi ambao si watumwa wa kifikra pia mmejaaliwa uzalendo wa hali ya juu kwa taifa hili la Tanzania.

Karibu sana CCM tujenge nchi pamoja katika misingi ya Demokrasia ya kweli na Uhuru wa Mawazo.tView attachment 408952
Sisiemu wanajenga kizazi kijacho cha uongozi tena vijana machachari, ukawa ya chadema wanawasajili kina sumaye na kingunge, hii hatari sana!
 
Kama kuna msomi anashawishika kujiunga na ccm hii ya leo bila kurubuniwa kwa fedha na ahadi za fursa za kutoka kimaisha huyo atatakiwa ahakikiwe vyeti vyake toka primary school nina mashaka atakuwa mkimbizi au muhalifu anyejongea kwenye kichaka cha waovu ili kupata hifadhi hapo
Kama na wewe ungelikuwa msomi basi usingelikuwa na hofu kuona msomi akijiunga CCM. Muda bado unao tafuta elimu ili na wewe uwe Msomi
 
Back
Top Bottom