Karibu CCM Fahami Matsawili

Kwa ninavyomuona Prop Lipumba anavyohaha, napata picha kumbe siasa tanzania ni ajira inayolipa sana...
 
Hongera sana swahiba wangu Fahami Matsawili kwa maamuzi ya Busara, Hekima na uzalendo wa hali ya juu kwa kujiunga na chama cha mapinduzi CCM mapema leo.

Hakika wewe ni mmoja kati ya vijana wachache wasomi ambao si watumwa wa kifikra pia mmejaaliwa uzalendo wa hali ya juu kwa taifa hili la Tanzania.

Karibu sana CCM tujenge nchi pamoja katika misingi ya Demokrasia ya kweli na Uhuru wa Mawazo.tView attachment 408952
Fahami ni nshomile
 
Ndio nani? Usiku unamkaribisha mwenye nyumba kwa kuwa wewe ni mgeni.
 
Huyu alikuwa Chadema kabla ya uchaguzi mkuu 2015 baadae akaondoka akaenda Act na akagombea ubunge Bukoba mjini, Leo yuko Ccm! Miaka 2 vyama 3! Hawa ndio malaya wa kisiasa
Kuna wakati nilikuwa ninamwona akizunguka sana kwenye media, ukimsikiliza kwa makini hafichiki- ni miongoni mwa vijana ambao wanataka kuitumia siasa kuendesha maisha yao, I mean anataka afanikiwe kimaisha kupitia siasa wala hana malengo ya kutumia elimu kidogo aliyonayo kulisaidia taifa. Ndoto yake inaweza kufanikiwa sasa!
 
ningeshamgaa kama angeacha kupiga picha arushe mitandaoni maana wenzetu Wa kagera (wahaya) si mchezo
 
Hongera sana swahiba wangu Fahami Matsawili kwa maamuzi ya Busara, Hekima na uzalendo wa hali ya juu kwa kujiunga na chama cha mapinduzi CCM mapema leo.

Hakika wewe ni mmoja kati ya vijana wachache wasomi ambao si watumwa wa kifikra pia mmejaaliwa uzalendo wa hali ya juu kwa taifa hili la Tanzania.

Karibu sana CCM tujenge nchi pamoja katika misingi ya Demokrasia ya kweli na Uhuru wa Mawazo.tView attachment 408952
.
hamna kitu hapo
 
Huyu dogo nae kimeo tu, na sijawahi kumuelewa , Baba ake ni Diwani WA cuf kata Nyakibimbili na yeye mwanzoni alikuwa CHADEMA baadae akaamia ACT akagombea ubunge Bukoba Mjini akapigwa naona kaamua kuamia kwa CCM, Dogo ungetulia tu
kwao wapo vizuri vyama vyote wamepitia kutakuwa kuna kitu wanatafuta bado hawajakipata ila huko alikoenda sio wala nini bora angeenda NLD au au chama cha jogoo mzee wa vunjo
 
Back
Top Bottom