Misaada kutoka wapi ndugu hebu tuueleze usijumlishe mambo misaada ipi na kutoka wapi,kanisa katoliki halitetereki likija swala la kiuchumi umeona mwenyewe miradi yao ilivyo ya nguvuLazima alalamike maana ile misaada na flow ya budget ya serikaliiliokuwa inakwenda kanisani imekatwa sasa anatapatapa