Kardinali Pengo: Kanisa litasema kweli bila kuogopa gharama!

Umefikia kusema uko tayari kuuawawa... Tafadhali hebu kaaa kimya usitake kutuletea vurugu nchini... kwani ni lazima nchi hii iinde kama unavyotaka wewe?

Kama una akili timamu jiulize: kama umeweza kusema kama ulivyofanya, kwa nini Pengo asiweze kusema kama anatishiwa? Unataka kusema una hazki zaidi yake?
 
Umefikia kusema uko tayari kuuawawa... Tafadhali hebu kaaa kimya usitake kutuletea vurugu nchini... kwani ni lazima nchi hii iinde kama unavyotaka wewe?

Ndugu yangu usifundishe watu kazi, labda hayo ni moja ya majukumu yake ambao hawezi akaacha kuyafanya. Wanamabaraza yao ambayo wataweza kukemeana kama alikosea. Kwenye mahubiri yao, huwa wanaonya na kuelekeza. Pia maranyingi huwa wanaongea vitu ambavyo anayeguswa hapendi kuvisikia. Tuombeane amani
 
Umefikia kusema uko tayari kuuawawa... Tafadhali hebu kaaa kimya usitake kutuletea vurugu nchini... kwani ni lazima nchi hii iinde kama unavyotaka wewe?

Lazima alalamike maana ile misaada na flow ya budget ya serikaliiliokuwa inakwenda kanisani imekatwa sasa anatapatapa
 
haki hiyo inayokufanya useme Kardinali Pengo afunge mdomo wake, ndo hiyo aliyotumia kufungua mdomo wake. Sijui Authority ya kuamuru hivyo unaitoa wapi, tumia busara kidogo ndugu.
 
wapendwa punguzeni ukali wa maneno.huku tuendako si kuzuri kama viongozi wa dini watakuwa wanatoa kauli tata kwenye jamii.
 
Bora umenena kweli. Asituletee balaa kwa kutaka kumpa madaraka Padre wake
the people who are going to turn this country into Gaza are Muslims, you guys lack the knowledge of Religious tolerance, is it because you do not HAVE enough education to equip YOU in reasoning, when are you going to stop insulting our religious leaders. dont you think this country have been built by X-ANS take a look most of BIG schools are owned by The CHURCH, most UNIVERSITIES Belong to us X-ANS you Guys have ALMOST NOTHING, yet you are taking your time to insult our leaders, labda hata wewe ulioandika hiyo topic umepitia Kwa Hawa Mapadri Kwa njia MOJA au nyingine, please try to BEHAVE.
 
Umefikia kusema uko tayari kuuawawa... Tafadhali hebu kaaa kimya usitake kutuletea vurugu nchini... kwani ni lazima nchi hii iinde kama unavyotaka wewe?

Wewe ni mwehu zaidi ya aliyekutuma, huwezi kutumwa upumbavu na ujinga na kukubali.

Ulaaniwe wewe na kizazi chako....kafiri mkubwa.
 
Mbona hawa mashekhe wanaotoa matamko kila siku hausemi? akisema askofu ndio amani inahatarika? we unaonekana ni ******-rema!
 
Nawaomba tuvumuliane tu kila mmoja anayo haki ya kutoa mchango anaoona unafaa kuiwezesha Tanzania kupiga hatua kama Mh. Pengo alivyo fanya kwa kutoa mchango wake wa mawazo. Chakufanya kama hukubaliani naye kumkosoa kwa kuboresha mchango wake kwani Tanzania ni ya Watanzania wote bila kujali dini zao.

Mbarikiwe wote mnaoipenda Tanzania na kuchukia sana udini, ukabila, na ubaguzi wa aina yoyote ile.

Nawasilisha.
 
Umefikia kusema uko tayari kuuawawa... Tafadhali hebu kaaa kimya usitake kutuletea vurugu nchini... kwani ni lazima nchi hii iinde kama unavyotaka wewe?

Your appropriate pseudo name should be "Primitive Technology" because that is what you are primitive!!!
 
Ujajigundua wewe ni mwendawazimu........kuna lolote baya halilosema Pengo? Hivi ninyi CCM mtu anapoongelea maumivu ya watanzania ni threat kwenu eeh....................

Yamewafika maji shingoni! Nanui siku hizi anaitaka CCM? hata mafisadi wanaanza kuihama!
 
Pengo anazeeka vibaya na anajaribu kuvaa viatu ambavyo ni vikubwa kwake, 2 haikai, 3 haikai.. mi namshauri abaki kanisani na kuwaambia lolote analotaka waumini wake, kuja kwake public nafkiri he just wants media attention thats all
 
wapendwa punguzeni ukali wa maneno.huku tuendako si kuzuri kama viongozi wa dini watakuwa wanatoa kauli tata kwenye jamii.

core umepitia chumba cha utambulisoi manake umejiunga tu jana.Mlitaka cardinal pengo akakae ikulu na mkwere kula futari huku akijua wananchi wanaangamia? mlitaka awapongeze viongozi wa serikali huku akijua ni mafisadi na walafi wa madaraka? yeye kasema ukweli na ndilo jukumu la kiongozi wa dini.Mtoa mada kweli sidhani kama ni mzima katoa wapi nguvu ya kumkemea kiongozi wa dini? hii mada inachefua sana imeniharibia siku yangu.watu wanakurupuka kuandika mada bila kufikiri.
 
Back
Top Bottom