Kardinali Pengo: Kanisa litasema kweli bila kuogopa gharama!

Haffif kama mmelogwa. Naamini mmekuwa misukule ya CCM kwa kujua au kwa kutojua. Ila mtajikuta peke yenu at the end.

pamoja na kurongwa lakini sitaki yale ya Rwanda.

ambapo kanisa lilitoa mchango mkubwa sana kufanikisha mauaji ya halaiki,

Pengo anataka nae aweke historia kama hiyo hapa kwetu Tanzania.
 
Ya Rwanda ni yao, kinachojadiliwa hapa wozo ndani ya serikali ambayo inatumia nguvu kubwa kufunika uozo huo unaoangamiza taifa. Uwazi huhuisha haki, lakini ukimya na kufunika movu yanayotenda ndani ya serikali kwa gharama hata ya kumwaga damu ni uasi dhidi ya watanzania
 
kumbe je! Hali ngumu ya maisha ya watanzania ilikuwepo toka awamu ya kwanza na pengo alikuwepo lakini hakuwa na ukweli wa kupasua.Waliokuwepo,sukari mikate sabuni nguo hupati mpaka kwa foleni RTC na ukipata kwingineko jela kwa ulanguzi.Ilikuwa hali nzuri hajazungumzia leo mbaya anazungumza.Hebu acheni siasa makanisani na misikitini mtaipeleka nchi pabaya.Shauri yenu.

wakati ule alikuwepo Rugambwa sio Pengo!
 
kumbe je! Hali ngumu ya maisha ya watanzania ilikuwepo toka awamu ya kwanza na pengo alikuwepo lakini hakuwa na ukweli wa kupasua.Waliokuwepo,sukari mikate sabuni nguo hupati mpaka kwa foleni RTC na ukipata kwingineko jela kwa ulanguzi.Ilikuwa hali nzuri hajazungumzia leo mbaya anazungumza.Hebu acheni siasa makanisani na misikitini mtaipeleka nchi pabaya.Shauri yenu.

Kwa akili yako unadhani TZ tuna upuuzi wa kudumu, upumbavu wa kudumu nk. hivyo eti tumwache Kikwete aendeleze upuuzi huo?
Huamini kwamba hatuko hivyo na hatustahili hayo?
 
Umefikia kusema uko tayari kuuawawa... Tafadhali hebu kaaa kimya usitake kutuletea vurugu nchini... kwani ni lazima nchi hii iinde kama unavyotaka wewe?
 
Umefikia kusema uko tayari kuuawawa... Tafadhali hebu kaaa kimya usitake kutuletea vurugu nchini... kwani ni lazima nchi hii iinde kama unavyotaka wewe?

Bora umenena kweli. Asituletee balaa kwa kutaka kumpa madaraka Padre wake
 
Umefikia kusema uko tayari kuuawawa... Tafadhali hebu kaaa kimya usitake kutuletea vurugu nchini... kwani ni lazima nchi hii iinde kama unavyotaka wewe?

Ujajigundua wewe ni mwendawazimu........kuna lolote baya halilosema Pengo? Hivi ninyi CCM mtu anapoongelea maumivu ya watanzania ni threat kwenu eeh....................
 
Mod Kichaaa kama huyu asiye na radhi usipompa BAN tutaanzisha maandamano humu na kugoma kuingia. Nategemea nisimkute hapa baada ya nusu saa
 
Umefikia kusema uko tayari kuuawawa... Tafadhali hebu kaaa kimya usitake kutuletea vurugu nchini... kwani ni lazima nchi hii iinde kama unavyotaka wewe?

ndugu yangu, naweza kusema yaani hata hustahili kulitaja jina lake
 
Umefikia kusema uko tayari kuuawawa... Tafadhali hebu kaaa kimya usitake kutuletea vurugu nchini... kwani ni lazima nchi hii iinde kama unavyotaka wewe?

Umerogwa na nani tena kuwakoromea wanaokuzidi umri???? Ungekuwa karibu naye ungesema hivyo? Au kulingana na hilo jina lako umeunganisha + & +
 
SHAME ON YOU

1. una uhakika pengo alipiga kura?
2. na kama alipiga kura una ushahidi gani kuwa pengo alimpigia slaa?

mambo yanapoharibika mnakimbilia kuomba viongozi wa dini wawaase watu mkiharibu mwakurupukia udini, :shock:
 
hivi huu umaskini wa watanzania ni nani hasa anayepaswa kuusemea pale viongozi wanapopotoka na kupeleka nchi mrama?manake mtu akiusemea regardless ya profession yake (MWanasiasa ,Daktari ,Kiongozi wa dini, MWanasheria ,au fani yoyote ile) ataambiwa kwamba anahatarisha amani ya nchi.Tena wanasema Tanzania ni kisiwa cha amani lakini nadhani ni amani ya nje manake majority ya walio wengi wanaishi kwenye hali mbaya.hivi vitu sio kwamba vitaletwa na chama chochote,vitakuja kuja tu kwani watu watakuja kugundua kwamba hivi shida zao kwa kiasi flani zinaletwa na viongozi waliopo madarakani.na hapo ndo mambo yatakuwa sio mambo na kiukweli si hali nzuri .mi nilitegemea hawa viongozi waanze kufanya kazi kiuadilifu na kuboresha maisha ya wananchi.si kutisha haitasaidia
 
Umefikia kusema uko tayari kuuawawa... Tafadhali hebu kaaa kimya usitake kutuletea vurugu nchini... kwani ni lazima nchi hii iinde kama unavyotaka wewe?

Pole sana, nakuhurumia kwa kuwa unapelekeshwa tu na kikundi cha watu wala keki ya nchi hii-na najua wewe huli ila unatumiliwa. "Mungu akuhurumie na kukusamehe kwa kuwa hujui ulitendalo"
 
Ujajigundua wewe ni mwendawazimu........kuna lolote baya halilosema Pengo? Hivi ninyi CCM mtu anapoongelea maumivu ya watanzania ni threat kwenu eeh....................
please refresh your kiswahili.
 
Back
Top Bottom