Gavana
JF-Expert Member
- Jul 19, 2008
- 33,233
- 8,779

Hebu tujikumbushe historia kidogo. Kipindi kile kulikuwa na:

1. Oil Crisis

2. Famine

3. Cold War

Haya mambo yalileta hali mbaya ya uchumi katika

ukanda wetu, mfano kutokana na ukame akiba ya

chakula ilipungua ndiyo sababu ya nyerere

kuomba msaada wa chakula Marekani (mahindi ya yanga).

Vile vile kutokana na oil embargo ya OAPEC

iliyosababishwa na msaada wa marekani dhidi ya

jeshi la israeli hali yetu ya uchumi ikadidimia. Kama

unavyojua mafuta yakiadimika kila kitu kinapanda.

Wakati mambo hayajakaa vizuri ikaja vita ya

Kagera ambapo tulitumia zaidi ya dolari za

kimarekani milioni 500 kupigana ($500,000,000).

kumbuka ile vita tuliigharamia wenyewe kwasababu

OAU walikataa kushiriki.

Kuhusu athari za cold war nitaliacha kwa leo (kiporo).

Hata hivyo watu walikuwa wanasoma bure (viongozi

wetu wengi wa sasa walikuwa wanafunzi wa vyuo

kipindi hicho), matibabu bure, umeme ulikuwa haukatiki

hovyo na nchi ilikuwa na msimamo.

Inabidi uisone historia ya inchi yako na dunia ili uelewe

kwanini mambo yalikuwa hivyo.

Hivi sasa mambo ni tofauti kabisa hakuna vita baridi,

ukame, wala vita na nchi yeyote lakini wengi wanakiona

sasa huoni kama kuna tatizo ndugu?

wacha kudanganya vijana. Kenya haikuwepo?zambia?n.k. Nyerere ukivaa jeans unakuuliza.ukikamatwa na dola moja anakuweka keko.sigara zinatengenezwa bongo foleni.ukionekana na colgate au sabuni za lux unaenda keko eti mlanguzi ,hamweshi kumremba huyu adui wa tanganyika?