Kanumba: Sipigi kura, 2015 nitagombea ubunge

Nimemsikia mkuu wa kaya msibani kupitia radio ya wafu anamsifia Kanumba kua alikua kijana mtanashati,mzuri hata umbo lake lilikua zuri,nimecheka kupita kiasi

hahaaa kweli mkulu wa kaya ni soo
 
Kumbe Kanumba alikuwa amechukua kadi ya chadema na alikuwa amepanga kugombea Shinyanga mjini kwa tiketi ya Chadema. Chadema tumempoteza mmoja wetu. RIP

Source: Heche

He!, kumbe ndio maana alimpongeza sana rafiki yake zito kabwe kwa ushindi wa nasari!. CDM tumepoteza jembe 2015
 
Bill Clinton aliwahi kuwa Mcheza sinema. Tanzania sasa hivi tunahitaji kiongozi "very unconventional" kuweza kutubadirisha huku tuliko. Inatakiwa tuipe nafasi damu changa ya kutosha na nahisi hapa tumepoteza mojawapo ya damu hizo! Kuthubutu na ushindi wa Sugu nadhani ni chachu ya kutosha kutusaidia kuwapata watu wengi "unconventional".

Mie nawashauri Kina Mwana FA, Kina Mkoloni, na Kina Afande Sele; Watafute vyama vya siasa wanavyoona vinawafaa na wagombee kuingia mjengoni; tunawahitaji mno! Wana mawazo mbadala.

Hapa morogoro Afande Sele amechukua kadi ya CDM, na ameshatangaza kugombea ubunge 2015 kupitia CDM, kilichomkuta ni magamba tayari wameanza kumfungulia kesi feki. Nawashauri wenye nia hiyo watulie kwanza mafisadi wana mbinu nyingi watawaharibia.
 
It's unbelievable jamani jembe langu la ukwee!!!!Anyways we're on the same way bro. R.I.P
 
Alikuwa Mbunge wetu mtarajiwa kule shy.
Mungu ni nani atakayekwea juu ya adui zetu kule shinyanga?
Nimemsikia mkuu wa kaya msibani kupitia radio ya wafu anamsifia Kanumba kua alikua kijana mtanashati,mzuri hata umbo lake lilikua zuri,nimecheka kupita kiasi
 
Kumbe Kanumba alikuwa amechukua kadi ya chadema na alikuwa amepanga kugombea Shinyanga mjini kwa tiketi ya Chadema. Chadema tumempoteza mmoja wetu. RIP

Source: Heche

Kifo cha Kanumba nakifananisha na kifo cha Mtoto wa Dandu

RIP KANUMBA & MTOTO WA DANDU
 
Kumbe Kanumba alikuwa amechukua kadi ya chadema na alikuwa amepanga kugombea Shinyanga mjini kwa tiketi ya Chadema. Chadema tumempoteza mmoja wetu. RIP

Source: Heche
Kwa sasa hivi sifa mojawapo ya kugombea ubunge kwa ticket ya CDM ni at least degree 1, navyojua mshkaji alikuwa ni form 6
 
we live and let die...
Rest where you deserve, kanumba..
 
[h=3]JK Aomboleza Msiba Wa Steven Kanumba[/h]
Nyumbani kwa marehemu, Sinza Vatican. Picha Zote: Ikulu
Reactions::

. Sunday, April 08, 2012 19 comments



[h=3]JK: " Ndugu Zangu Poleni Sana!"[/h]


JK akitoa mikono ya pole kwa ndugu, jamaa na marafiki wa marehemu Steven Kanumba, Sinza Vatican hii leo. Picha zote: Ikulu
Reactions::

. Sunday, April 08, 2012 0 comments





[h=3]Mkono Wa Pole Kutoka Kwa JK[/h]
Kwenye msiba wa Kanumba
Reactions::

. Sunday, April 08, 2012 0 comments





[h=3]JK Akitoa Mkono Wa Pole[/h]
Kwa ndugu , jamaa na marafiki wa marehemu Kanumba
 
hawa jamaa walish2kia nini wakafanya mikakato maana hawa mabwana hawaaminiki hata kidogo
 
[Kumbe Kanumba alikuwa amechukua kadi ya chadema na alikuwa amepanga kugombea Shinyanga mjini kwa tiketi ya Chadema. Chadema tumempoteza mmoja wetu. RIP]
hakika hapa tungekuwa na mwakilishi makini bungeni????????? Tafakari!!!!!!!!!!!
 
nimesikia alikuwa amezindua filamu moja hivi inaitwa KIJIJI CHA WAPIGANIA HAKI, hivi kijiji hicho ni CDM?? na je ndo maana na yeye akajiunga huko ili apiganie haki za wana SHY?? hakika naitafuta hiyo filamu nijielimishe kile jembe letu lilitaka tuelewe wa tz.
 
Kumbe Kanumba alikuwa amechukua kadi ya chadema na alikuwa amepanga kugombea Shinyanga mjini kwa tiketi ya Chadema. Chadema tumempoteza mmoja wetu. RIP

Source: Heche
KWA HALI KANUMBA ALIYOKUWA NAYOP ASINGEWEZA KUJIINGIZA KWENYE SIASA MAPEMA,
  • IJULIKANE TU SANAA YA FILAMU SIO KAMA YA BONGO FLAVOR KWAMBA UKIWA NA MIAKA 40 NDIO BASI
  • PILI KANUMBA ALIKUWA ANAIWAKILISHA NCHI KWENYE MATAMASHA YA FILAMU GHANA,NIGERIA NA NCHI ZINGINE ,na yeye alikuwa anafaa zaidi sio tu kwa umahiri wake hata umri wake na maisha yake ,huwezi mchukuwa mtu kama JB,DUDE au magari ukawaambia waende ghana au nigeria mwezi mmoja kwenye tamasha la filamu kutokana na umri na majukumu ya kifamilia hata kujichanganya
  • Wamebanwa sana na ccm kupitia mtoto wa mwenye nchi kikwete(rizi one) kwa tiketi ya kuwatengenezea movie bure filamu zao
  • Pili kanumba kazaliwa tu shinyanga na kusoma shule ya msingi pale lakini sio mtu wa pale baba yake mtu wa mwanza mama bukoba,sasa connection atatengeneza vipi,ingawa hii sio muhimu kikatiba lakini ni kigezo hasa wenzetu wasukuma
 
Binadamu hupanga lakini ndio hivyo tena nyota yake imezika ghafla. Uwezekano wa kupata ulikuwepo, CDM mmepoteza mpiganaji.
Source Michuzi.
 
Ya Mungu mengi,atapatikana mwingine wakuiwasilisha CDM ktk hilo jimbo
 
Back
Top Bottom