Kanumba: Sipigi kura, 2015 nitagombea ubunge

akicheka kwenye zile mic za mjengoni si zitazimika zote?. namtakia kila la kheri. Mia
 
Habari wanajamvi nilikua napita mnara wa voda eneo maarufu kwa mafundi vitanda ambapo pembeni kuna ofisi za CHADEMA Shy mkoa nkakuta tetesi kuwa msanii Steven Kanumba atarudi kugombea 2015 kupitia chadema against Masele wa CCM hebu tusaidiane je ina logic? Source mi

Possible, why not?!! I think is just the matter of decision and preparation,for me He is able!!
 
sioni tofauti kubwa kati ya sugu na kanumba,tofauti ndogo ni kwamba kanumba sharobaro,sugu mgumu
Mkuu kuna tofauti kubwa saana kati ya sugu na Kanumba.
Refer: SUGU,MUZIKI NA MAISHA,FROM STREET TO PARLIAMENT,the autobiography...
Ndio utajua tofauti..kanumba anajitahidi ila bado hana ushawishi alionao SUGU.
...,Wengi tu watatangaza nia 2015,lakini binafsi kumlinganisha SUGU na kanumba ni sawa na kulinganisha mlima kilimanjaro na kichunguu! Hata Diamond atagombea ubunge safari hii!
Kila mtu akishapata umaarufu anataka Ubunge!!!!
 
ubunge kwa mwaka 2015 hapata tosha, tusubiri maajabu maana kwa sheria zetu kila mtu anahaki ya kusikilizwa na kugombea, ukijiuliza kwa kanumba ni vema ukaanza na waliobahatika kwa mwaka 2010 mfano, mbunge wa mbeya/mjini vijijini, mwanjali na sugu, maji marefu, komba na wengine wengi.
 
Habari wanajamvi nilikua napita mnara wa voda eneo maarufu kwa mafundi vitanda ambapo pembeni kuna ofisi za CHADEMA Shy mkoa nkakuta tetesi kuwa msanii Steven Kanumba atarudi kugombea 2015 kupitia chadema against Masele wa CCM hebu tusaidiane je ina logic? Source mi

kama katiba yetu inavosema mtu mwenye umri kuanzia miaka 18 akiri timamu na mtanzania unaruhusiwa kugombea zaidi ni kuwa kanumba yeye anajina hivo huwezi kumlinganisha na baadhi ya magamba.
Isipokuwa kwa wabunge wa CDM ni makini sana na sifahamu utaratibu wanaotumia kuwapata watu makini kiasi hki so kama atakuwa na sifa basi atachukua mbona akina komando john na magavana.
 
Kama kweli basi mimi namshauri agombee majimbo ya hapahapa Dar kwa sababu;
1. Makazi yake yapo dar hivyo anazifahamu vizuri kero za jiji hili.
2. Ili kuthibitisha kuwa yuko compitent na si kwa kuwa anauza sura kideoni maana watu wa dar kidogo wana uwezo wa kuwapima wagombea.

n.b; Binafsi siwez kumhukumu moja kwa moja huyu bwana kwa sababu kwa mujibu wa katiba ana uhuru wa kufanya hivyo ILA(natumia simu, siwez ku-bold hilo neno) sijamuona kama ni type ya watu tunaotaka ili walikomboe taifa hili, watu kama Mnyika, Kafulila, Lema, n.k. Kwa maana hiyo ningeshauri agombee kupitia kwa magamba ili afe nao!
Kama Kanumba ameshindwa kutetea haki za wenzake wachache(wasanii) anawezaje kutetea wananchi?
Kama kanumba ameshindwa kuwa mbunifu katika kazi zake na baadala yake anarudia filamu hiyo hiyo na kuona kuwa filamu ni kubadilisha badilisha majumba, magari na mavazi( kwa kifupi kuuza sura), anawezaje kubuni mbinu za kumuondoa Mtanganyika katika lindi la umasikin ilhali nchi yake ni tajiri kuliko maelezo?

Napata wasi wasi ukisema watu wa dar wanaweza kuwapima wabunge wao! Kina nani hao? Idd azan, au yule aliyekimbia na masanduku ya kura? Au yupi! We unadhan Doctor Didasi Masaburi alikosea kivile basi?
 
Mkuu ritz sijapata kuona tangazo la hovyo kama lile ha ha ha ha.

Kama namuona Kanumba, anavyocheka kwenye tangazo la Star time..hahahahahaha..umeniletea zawadi yangu ya sikukuu! Hahahahaha!
 
Mwaka jana nilimuona dogo mmoja kupitia clouds tv ambaye ni mdogo wake Kanumba wamefanana kweli, alikuwa akilalamika kuwa huko kwao bwana Steve Kanumba kawatupa kabisa na hana desturi ya kwenda kwao! bwana mdogo nae ni mwana maigizo akaulizwa kama anapata sapoti yoyote kutoka kwa kaka yake, alisema hamna sapoti kutoka kwak kaka yake. Sasa kama hata huko kwao haendi amebanwa na kazi, si atawaonea hao ndugu zetu wasukuma wa shinyanga mjini? maana atakuwa busy tu huku darisalama, na palivyo na raha huko darisalama, wasukuma mmeliwa! na CHADEMA angalieni yasije yakatukuta ya Nakaaya, wapambanaji wa namna hii hawaeleweki
 
Habari wanajamvi nilikua napita mnara wa voda eneo maarufu kwa mafundi vitanda ambapo pembeni kuna ofisi za CHADEMA Shy mkoa nkakuta tetesi kuwa msanii Steven Kanumba atarudi kugombea 2015 kupitia chadema against Masele wa CCM hebu tusaidiane je ina logic? Source mi

Anamwiga Sugu! Sugu ni mwanaharakati tangu zamani, amavumilia mengi, hakuwa tayari kujifurahisha kwa vinono vya watawala au makuwadi wao kama vile Clouds FM. Sugu amewainua undegrounds, Kanumba kafanyani?
 
Kumbe Kanumba alikuwa amechukua kadi ya chadema na alikuwa amepanga kugombea Shinyanga mjini kwa tiketi ya Chadema. Chadema tumempoteza mmoja wetu. RIP

Source: Heche
 
Habari ya Kanumba kugombea ubunge kupitia CDM zilijulikana kitambo, lakini Mungu kampenda na amemchukua.
R.I.P. Comrade
 
.......kifo kipo tu jamani hata usipotangaza nia kugombea ubalozi achilia mbali ubunge!!!!! kwa maana rahisi isiyokuwa na mashiko ni kwamba tusipotangaza nia tunaishi milele siyo!!!!!!!!!
 
Back
Top Bottom