Fika ubungo riverside mida ya saa tatu asubuhi, pale jirani na ile sheli mpya utayakuta yale mabasi yake. Then utapanda hadi ibadani. Usitusahau kutuombea ili nasi tudake upako

Na hili ni la muhimu kuliko yote hata yeye ataona umuhimu wa uwepo wakoPiaa usisahau kuchukua sadaka ...
Huyu mzee ametengana na mke wake halafu anaombea wanawake wengine ndoa zao ziwe nzuri, yeye ameshindwaje kudumisha ndoa yake ? Tangu lini mchungaji akaitwa transformer au tingatinga kama sio uhuni ni nini ? Ndugu jifunze kujiombea mwenyewe kwani hata wewe MUNGU anakusikia.

Kama mke ameondoka mwenyewe, tu na ww sio sababu, haina tatzo haikupunguzii uwezo wako wa kuwajenga wengne ktk ndoa zao
Yeye kama mkuu wa kanisa alitakiwa ajue kumbembeleza na kumkuna wife panapostahili. Busara ingetumika zaidi mama angepaona home kama little heaven. Mwanamke hawezi kuondoka kwa mumewe bila maudhi. Isitoshe mwanamke mwenyewe ni public figure , mcha MUNGU na busara zake kedekede. Huyu muhuni lazima kamfanyia mama jambo ndilo silo. hasa katika fani ya wachumgaji uchwara ya totozzKama mke ameondoka mwenyewe, tu na ww sio sababu, haina tatzo haikupunguzii uwezo wako wa kuwajenga wengne ktk ndoa zao
Yeye kama mkuu wa kanisa alitakiwa ajue kumbembeleza na kumkuna wife panapostahili. Busara ingetumika zaidi mama angepaona home kama little heaven. Mwanamke hawezi kuondoka kwa mumewe bila maudhi. Isitoshe mwanamke mwenyewe ni public figure , mcha MUNGU na busara zake kedekede. Huyu muhuni lazima kamfanyia mama jambo ndilo silo. hasa katika fani ya wachumgaji uchwara ya totozz