Kanisa la GRC kwa Mzee wa Upako

Wapi uliona mchungaji akijipachika majina ya kihuni kama transfoma au katapila, Carterpilar ni mtoto wa kipepeo akiwa kwenye larva stage au ni trade mark name ya matingatinga.
 
Sifa za transfoma na katapila ni zipi ??
 
Mimi sijui majina ya kihuni yana maana gani. Hebu kamuulize huyo aliyejipachika. By the way mbona bado hujaingia kanisani kwa transfoma uombewe wakati muda wa ibada ya makatapila na matingatinga na majenereta umefika, au wewe unaingia mwisho wakati wa kuikota sadaka ?
 
Kule kwenye maombi cha muhimu.ni Sadaka tu vingine havina umuhimu ndio maana hata zile ibada hazina formula
 
Paa naona ndio anakusanya sadaka leo maana ni muda tangu tumuone humu. Au ndie yule anaetuliza wasichana wakipandisha na kuanguka chali
 
Back
Top Bottom