Kanisa la GRC kwa Mzee wa Upako

Paa

JF-Expert Member
Jun 12, 2015
1,449
2,924
Wapendwa nawezaje kufika katika kanisa la Maombezi GRC ubungo (kwa Mzee wa Upako)? Kutokea ubungo stand ya daladala.
Nahitaji kwaajili ya ibada ya kesho. Ahsante na Ubarikiwe SANa kwa muongozo.
 
Fika ubungo riverside mida ya saa tatu asubuhi, pale jirani na ile sheli mpya utayakuta yale mabasi yake. Then utapanda hadi ibadani. Usitusahau kutuombea ili nasi tudake upako
 
Umemaliza Kila Kitu
 
Fika ubungo riverside mida ya saa tatu asubuhi, pale jirani na ile sheli mpya utayakuta yale mabasi yake. Then utapanda hadi ibadani. Usitusahau kutuombea ili nasi tudake upako
Nashukru na UBARIKIWE.
Wewe hutoenda?
 
Huyu mzee ametengana na mke wake halafu anaombea wanawake wengine ndoa zao ziwe nzuri, yeye ameshindwaje kudumisha ndoa yake ? Tangu lini mchungaji akaitwa transformer au tingatinga kama sio uhuni ni nini ? Ndugu jifunze kujiombea mwenyewe kwani hata wewe MUNGU anakusikia.
 
Fika ubungo riverside mida ya saa tatu asubuhi, pale jirani na ile sheli mpya utayakuta yale mabasi yake. Then utapanda hadi ibadani. Usitusahau kutuombea ili nasi tudake upako

Piaa usisahau kuchukua sadaka ...
 
Huyu mzee ametengana na mke wake halafu anaombea wanawake wengine ndoa zao ziwe nzuri, yeye ameshindwaje kudumisha ndoa yake ? Tangu lini mchungaji akaitwa transformer au tingatinga kama sio uhuni ni nini ? Ndugu jifunze kujiombea mwenyewe kwani hata wewe MUNGU anakusikia.

Waache wapeleke sadaka kwa moyo mmoja
 
Huyu mzee ametengana na mke wake halafu anaombea wanawake wengine ndoa zao ziwe nzuri, yeye ameshindwaje kudumisha ndoa yake ? Tangu lini mchungaji akaitwa transformer au tingatinga kama sio uhuni ni nini ? Ndugu jifunze kujiombea mwenyewe kwani hata wewe MUNGU anakusikia.

watu hawaanimi kama wakiomba Mungu anasikia... mpaka wamwine mzee wa upako..kazi kwelikweli...

but mleta mada kila la kheri
 
Huyu mzee ametengana na mke wake halafu anaombea wanawake wengine ndoa zao ziwe nzuri, yeye ameshindwaje kudumisha ndoa yake ? Tangu lini mchungaji akaitwa transformer au tingatinga kama sio uhuni ni nini ? Ndugu jifunze kujiombea mwenyewe kwani hata wewe MUNGU anakusikia.

Mkuu umeua bend
 
Kama mke ameondoka mwenyewe, tu na ww sio sababu, haina tatzo haikupunguzii uwezo wako wa kuwajenga wengne ktk ndoa zao

Mkuu baba mchungaj umepotea sana tangu umeondoka upako Umepungua sana hapa jf karbu
 
Kama mke ameondoka mwenyewe, tu na ww sio sababu, haina tatzo haikupunguzii uwezo wako wa kuwajenga wengne ktk ndoa zao
Yeye kama mkuu wa kanisa alitakiwa ajue kumbembeleza na kumkuna wife panapostahili. Busara ingetumika zaidi mama angepaona home kama little heaven. Mwanamke hawezi kuondoka kwa mumewe bila maudhi. Isitoshe mwanamke mwenyewe ni public figure , mcha MUNGU na busara zake kedekede. Huyu muhuni lazima kamfanyia mama jambo ndilo silo. hasa katika fani ya wachumgaji uchwara ya totozz
 
Si nasikia anapandishaga wabebz kwenye ndinga yake...sasa sijui wanafanyaga nini!
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom