Kanisa la GRC kwa Mzee wa Upako

Si nasikia anapandishaga wabebz kwenye ndinga yake...sasa sijui wanafanyaga nini!

Kuna mtu mmoja alimtuhumu kumchukua mke wake, kesho yake jamaa akajisahau akaponda eti WEWE NANI AMCHUKUE MKEO WAKATI KUNA WASICHANA WADOGO CHUNGU MBOVU. Mkewe yamemshinda ameondoka, hawezi kukaa na mwanamme asiyejiheshimu. Mtu mzima lakini watoto wadogo wanachezea nyeti zake. mwanamke gani atavumilia.
Na pale anawapata sana hasa wanaopenda kununuliwa magari
 
Huyu mzee ametengana na mke wake halafu anaombea wanawake wengine ndoa zao ziwe nzuri, yeye ameshindwaje kudumisha ndoa yake ? Tangu lini mchungaji akaitwa transformer au tingatinga kama sio uhuni ni nini ? Ndugu jifunze kujiombea mwenyewe kwani hata wewe MUNGU anakusikia.

Sijakwambia naenda kuombewa, wewe hujui kama unapaswa kuwa katika NYUMBA YA KUABUDIA leo?
 
watu hawaanimi kama wakiomba Mungu anasikia... mpaka wamwine mzee wa upako..kazi kwelikweli...

but mleta mada kila la kheri

Hivi nimesema naenda kuombewa????
 
Yeye kama mkuu wa kanisa alitakiwa ajue kumbembeleza na kumkuna wife panapostahili. Busara ingetumika zaidi mama angepaona home kama little heaven. Mwanamke hawezi kuondoka kwa mumewe bila maudhi. Isitoshe mwanamke mwenyewe ni public figure , mcha MUNGU na busara zake kedekede. Huyu muhuni lazima kamfanyia mama jambo ndilo silo. hasa katika fani ya wachumgaji uchwara ya totozz

Duu, kazi kwelikweli
 
Kuna mtu mmoja alimtuhumu kumchukua mke wake, kesho yake jamaa akajisahau akaponda eti WEWE NANI AMCHUKUE MKEO WAKATI KUNA WASICHANA WADOGO CHUNGU MBOVU. Mkewe yamemshinda ameondoka, hawezi kukaa na mwanamme asiyejiheshimu. Mtu mzima lakini watoto wadogo wanachezea nyeti zake. mwanamke gani atavumilia.
Na pale anawapata sana hasa wanaopenda kununuliwa magari

Samahani, wewe ni MWANAMKE au ME ???
 
Anko, huwa sipatagi mda wa kufuatilia maisha yake. Kama wewe unaumia kwanini usilifanye hilo?

Paa bila shaka wewe ni transformer lenyewe au ni mdau katika kula zile sadaka za transformer aka carterpillar
 
Back
Top Bottom