Mc Tilly Chizenga JF-Expert Member Feb 7, 2012 4,641 3,675 Apr 1, 2012 #41 Husninyo said: Duh! J2 ijayo nitakuja nishuhudie. We ushachapwa? Click to expand... una hamu ya kuchapwa Husna?
Husninyo said: Duh! J2 ijayo nitakuja nishuhudie. We ushachapwa? Click to expand... una hamu ya kuchapwa Husna?
BAGAH JF-Expert Member Jan 17, 2012 4,523 1,060 Apr 1, 2012 #42 Husninyo said: Duh! J2 ijayo nitakuja nishuhudie. We ushachapwa? Click to expand... shem mbona unaulizia kama keshachapwa?pastor noma atakua keshamchapa lazima...usiende huko UTACHAPWA!!
Husninyo said: Duh! J2 ijayo nitakuja nishuhudie. We ushachapwa? Click to expand... shem mbona unaulizia kama keshachapwa?pastor noma atakua keshamchapa lazima...usiende huko UTACHAPWA!!
DULLAH B. JF-Expert Member Apr 21, 2011 672 149 Apr 1, 2012 #43 Huyo mchungaji c angesomea ualimu bana.
Cantalisia JF-Expert Member Sep 26, 2011 5,222 2,929 Apr 2, 2012 #44 Hahahahh hahhahhah, Kunw watu ambao siku huyo mungu mwenyewe orojino akirudi watatafuta pa kujificha!! Hizi iman hizi jaman!! Nataman kujua huyo mchungaji anayechapa watu anatoa wapi maandiko hayo lol!
Hahahahh hahhahhah, Kunw watu ambao siku huyo mungu mwenyewe orojino akirudi watatafuta pa kujificha!! Hizi iman hizi jaman!! Nataman kujua huyo mchungaji anayechapa watu anatoa wapi maandiko hayo lol!