ukilpapasa tu linatumbuka..tahadhari tumia vifaa tiba maana hacheewi kukuambukizaMkuu nilikuwa namuamini sana Kangi Lugola kumbe ni jipu limeiva!
Kapora ardhi yaa kijiji gani ndg..!?, hebu tulia urudi tena naona ulikuwa naa haraka kuleta huu uzi.
Waliopo kwenye serikali kipindi hiki cha utawala wa pombe wana kazi ngumu sana
We unamshangaa Kage,Kuna Askoff amempiga changa Mtoto wa Mwenye Shamba.
Huku uraiani ndio balaa,ila ukiwa kiongozi basi kiila mtu anaboost habari.
Kawaida tu,atasafishwa tu,Mbona mzee wa Richmond alisafishwa na kula shavu,kawaida tu
Hata wewe lugula
Tatizo la watanzania kazi yao ni kufuatilia maisha ya watu2, lakini inatakiwa kutambua kuwa hata ww ni jipu tena baya sana, tatizo ni kwamba jipu lako lipo mgongoni na huwezi kuliona kwa urahisi.
Hata wewe lugula
Nadhani kwa huyo mzee wa manvi ndiyo kansa imeenea sehemu zote za mwili wake. Maana tangu utoto wake yuko ccm hadi uzeee wake. Asilimia 97 ya maisha yake ni ccm.Huyu si anatuma za rushwa pia katika kamati kweli ccm ni Ile Ile mzee Wa majipu kansa haitumbuliwi serikali ya ccm ni kansa kwa maendeleo wananchi tunatakiwa kuitoa ili Tanzania ipone
Uncle hiyo habari jamaa zetu huwa hawataki kuickia.Kuliko chadema ya mbowe na Lowasa? Maana hiki chadema kila mtu mwizi.
Mmoja kati ya wabunge wachache wa CCM nnaowaelewa
Namkubali sana Lugola, sio mnafikiHahaha! Unakumbuka siku aliyomuomba spika ruhusa ya kuvaa kininja ili achangie hoja ya escrow ?
Namkubali sana Lugola, sio mnafiki
Nakumbuka vizuri
Yani yuko sawa sana tu, mi pia namkubali sanaNi kweli, mapungufu mengine ya kibinadamu tu. Lakini binafsi navutiwa sana na michango yake anapokuwa mjengoni.