Kangi Lugola kuburuzwa mahakamani

Kapora ardhi yaa kijiji gani ndg..!?, hebu tulia urudi tena naona ulikuwa naa haraka kuleta huu uzi.
 
We unamshangaa Kage,Kuna Askoff amempiga changa Mtoto wa Mwenye Shamba.
Huku uraiani ndio balaa,ila ukiwa kiongozi basi kiila mtu anaboost habari.
Kawaida tu,atasafishwa tu,Mbona mzee wa Richmond alisafishwa na kula shavu,kawaida tu
 
We unamshangaa Kage,Kuna Askoff amempiga changa Mtoto wa Mwenye Shamba.
Huku uraiani ndio balaa,ila ukiwa kiongozi basi kiila mtu anaboost habari.
Kawaida tu,atasafishwa tu,Mbona mzee wa Richmond alisafishwa na kula shavu,kawaida tu

Hahaha! Hapa kazi tu ! Zama za kusafishana zimekwenda na mwenye nazo mkuu, hasafishiki huyu jamaa hata kwa jiki hasafishiki. Mtonyaji wangu kaniambia mh.mbunge anaogopa ile mbaya mahakamani maana anajua atatumbuliwa.
 
Tatizo la watanzania kazi yao ni kufuatilia maisha ya watu2, lakini inatakiwa kutambua kuwa hata ww ni jipu tena baya sana, tatizo ni kwamba jipu lako lipo mgongoni na huwezi kuliona kwa urahisi.

Habari yako mkuu! Nimepata taarifa mh. Kangi anatuhuma za rushwa kwenye kamati za kudumu za bunge serikali za mitaa! Ebu nipe ufafanuzi hizi tuhuma ni za kweli au watu wanapenda kufuatilia maisha ya watu tu!
 
Mh.mbunge hupaswi kutuhumiwa na wananchi wako hata siku moja! Kama mbunge unakuwa mzigo kwa wananchi wako walio kuchagua hufai kuwa kiongozi.
 
Huyu si anatuma za rushwa pia katika kamati kweli ccm ni Ile Ile mzee Wa majipu kansa haitumbuliwi serikali ya ccm ni kansa kwa maendeleo wananchi tunatakiwa kuitoa ili Tanzania ipone
Nadhani kwa huyo mzee wa manvi ndiyo kansa imeenea sehemu zote za mwili wake. Maana tangu utoto wake yuko ccm hadi uzeee wake. Asilimia 97 ya maisha yake ni ccm.
Au ndiyo maana mmebadilika siku hizi mnawatetea mafisadi? Manvi ameanza kuwaambukiza kansa ya ccm
 
3 Reactions
Reply
Back
Top Bottom