Kangi Lugola kuburuzwa mahakamani

Mkuu mahakama imeamuaje sasa

Amani iwe kwako mkuu!

Baada ya mh.Kangi kuikimbia mahakama kwa mara ya pili bila taarifa yoyote, mahakama imempelekea wito kwa mara ya 3 tena. Itakuwa tarehe 04.05.2016 saa 08:00 asubuhi.

Huyo ndiye Kangi Lugola bana! Mbunge wa jimbo la Mwibara mtetezi wa wanyonge na kipenzi cha wananchi. Swali je! Atachomoka?
 
Wanasheria njooni hapa mnisaidie endapo utakataa kuitika wito wa kimahakama zaidi ya mara 3 ni adhabu gani unakumbana nayo? Hapa nataka kisheria zaidi.
 
Wanasheria njooni hapa mnisaidie endapo utakataa kuitika wito wa kimahakama zaidi ya mara 3 ni adhabu gani unakumbana nayo? Hapa nataka kisheria zaidi.

Nimeona mahali umeandika kesi hii kurindima tena 20.10.2016 tunaomba tupate update. Nafuatilia hii issue kwa karibu sana
 
Back
Top Bottom