Olumolongez
JF-Expert Member
- Dec 19, 2015
- 818
- 298
Mbwa anayebweka sana haumi.
Toa ushaidi mkuu usiwe kama ndugu zako waliokua wakimtukana lowassa ni fisadi leo hii ni kamanda subiri aburuzwe kortini ndio ulete habari hapaWapi nimeandika hapa kwenye uzi mambo ya Mbowe? Acheni kufumbia macho muharifu! Kangi Lugola ni muharifu mwambie ajiandae kuburuzwa mahakamani na tuhuma za ufisadi kibao zinazomkabili kuomba rushwa kamati za kudumu za bunge.
Unatakiwa utoe tangazo la wito wa kimahakama kwenye gazeti ili kufikisha taarifa kwa mtuhumiwa.
Mkuu ahsante kwa kutuhabarisha. Pia kwa nia njema tu napenda kukusahihisha kidogo. Hiyo hati ya kuitwa mahakamani inaitwa "summons" na kama zikiwa ni hati nyingi zinaitwa "summonses" na siyo "summonce" kama ulivyoandika na kuirudia mara kadhaa. Ni hilo tu.Amani iwe kwenu.
Mbunge wa jimbo la Mwibara; mh. Kangi Lugola, anatakiwa kufika mahakama ya ardhi mjini musoma kujibu tuhuma zinazomkabili. The district land and housing tribunal Musoma.
Mh.Mbunge anakabiliwa na tuhuma za kupora ardhi kinyume cha sheria ikitumia rushwa kuwahonga viongozi wa kijiji kwa masilahi binafsi.
Mnyetishaji wangu amenitonya kwamba, mh.mbunge alipelekewa "summonce/notice" yaani wito wa kuitwa shaurini tar.21.03.2016 lakini aligoma hakufika mahakamani.
Mahakama imeamuru tena apelekewe wito 'summonce' tar. 11.04.2016 saa 08:00 Am afike bila kukosa. Walalamikaji wanadai mbunge hakai ofisini wala katibu wake hivyo popote alipo ajitokeze apokee summonce yake.
Hata hivyo, nasikitika sana kuona ukimya wa mkuu wa wilaya ya Bunda, kutokuchukua hatua yoyote juu ya mgogoro huu tangu mwaka 2005 mpaka leo 2016.
Vyombo vya habari vipo kimya! Itv mko wapi siku hizi? Redio one hampo kanda ya ziwa? Mtafuteni huyu kada wa ccm atawapa stori ya huu mgogoro wa ardhi.
Toa ushaidi mkuu usiwe kama ndugu zako waliokua wakimtukana lowassa ni fisadi leo hii ni kamanda subiri aburuzwe kortini ndio ulete habari hapa
Mambo yanapoanza kuharibika....huenda kwa mfuatanoHuyu si anatuma za rushwa pia katika kamati kweli ccm ni Ile Ile mzee Wa majipu kansa haitumbuliwi serikali ya ccm ni kansa kwa maendeleo wananchi tunatakiwa kuitoa ili Tanzania ipone
Sasa hapo si ndio atakua anajadili suala ambalo lipo mahakamani tayari kitu ambacho hakitakiwi kufanywaNilitarajia utujuze jinsi mgogoro ulivyo au jinsi alivyopora ardhi ili tuelewe lakini wewe unapiga jalamba la kualika vyombo vya habari na kuuliza viko wapi. Aaaaaaaah.
Mkuu kweli ulipotoka,yaani umwaminie Kangi Lunguola!!!!Mkuu nilikuwa namuamini sana Kangi Lugola kumbe ni jipu limeiva!
Lakini wito wa kwanza inaonekana ulipokelewa na akaupata ila tu akakataa kuhudhuria mahakamani..sasa huyo ofisi ya bunge inaweza kumsevu huo wito, kuepuka gharama za kuchapa gazetini peleka wito huo kwa ofisi ya katibu wa bunge wao watamfikishia na baadae utapita kuchukua kopi yako urudishe mahakamani (i mean hao waliokutonya)Ahaa! Walalamikaji walinitonya wakiomba msaada mkuu. Tangazo la wito wa kimahakama kwenye gazeti ni muhimu lakini sijui Kama wataweza gharama zake.
Mkuu ahsante kwa kutuhabarisha. Pia kwa nia njema tu napenda kukusahihisha kidogo. Hiyo hati ya kuitwa mahakamani inaitwa "summons" na kama zikiwa ni hati nyingi zinaitwa "summonses" na siyo "summonce" kama ulivyoandika na kuirudia mara kadhaa. Ni hilo tu.
Ccm mnawanachama wanaotumikia vifungo kwa wizi Na kutumia madaraka vibaya Na si mmoja leo hii rais anapambana na hao hao wanachama wezi waliobaki Na kujifanya anatumbua majipu ccm ni kansa haitumbuliwi inaondolewa yote ndio Tanzania itaponaKuliko chadema ya mbowe na Lowasa? Maana hiki chadema kila mtu mwizi.
Lakini wito wa kwanza inaonekana ulipokelewa na akaupata ila tu akakataa kuhudhuria mahakamani..sasa huyo ofisi ya bunge inaweza kumsevu huo wito, kuepuka gharama za kuchapa gazetini peleka wito huo kwa ofisi ya katibu wa bunge wao watamfikishia na baadae utapita kuchukua kopi yako urudishe mahakamani (i mean hao waliokutonya)
Mimi nlijua anapelekwa mahakamani kwa kesi ya rushwaa.....
Mkuu kweli ulipotoka,yaani umwaminie Kangi Lunguola!!!!
huyu ndio alisimama arusha kumuunga mkono wakati mchunga ng'ombe akitangaza nia nikawa najiuliza ni vitu gani wanafanana kumbe wote ni wapora ardhi
Wapi nimeandika hapa kwenye uzi mambo ya Mbowe? Acheni kufumbia macho muharifu! Kangi Lugola ni muharifu mwambie ajiandae kuburuzwa mahakamani na tuhuma za ufisadi kibao zinazomkabili kuomba rushwa kamati za kudumu za bunge.
Mkuu mahakama ni zao wamezitia mfukoni ndo maana wanapenda kusema nenda mahakamani kama una ushaidi si unakumbuka umeya darWapi nimeandika hapa kwenye uzi mambo ya Mbowe? Acheni kufumbia macho muharifu! Kangi Lugola ni muharifu mwambie ajiandae kuburuzwa mahakamani na tuhuma za ufisadi kibao zinazomkabili kuomba rushwa kamati za kudumu za bunge.
Mkuu mahakama ni zao wamezitia mfukoni ndo maana wanapenda kusema nenda mahakamani kama una ushaidi si unakumbuka umeya dar
Tatizo la watanzania kazi yao ni kufuatilia maisha ya watu2, lakini inatakiwa kutambua kuwa hata ww ni jipu tena baya sana, tatizo ni kwamba jipu lako lipo mgongoni na huwezi kuliona kwa urahisi.