Kampuni moja ya simu kupitia wafanyakazi wake wa hack simu ya sugu.....

Ingekuwa ni yeye mwenyewe ndiyo aliyoweka hayo maandishi humu wala usingeniuliza, mbona huwa natowa darsa humu kila siku.

Hata Zitto nimeshawahi kumsahihisha humu JF na barua yake yenye nembo ya bunge, nimeisahau tu ile nyuzi ningekuwekea hapa. Mbona mambo ya kawaida hayo. Tena nampa Mheshimiwa "offer" ya bure, kama Kiingereza kinamkwaza yeye ani pm tu, mimi ntamuandikia na yeye ndio atapata kujifunza kwani nna uhakika si mjinga, ni lugha tu inampiga chenga.

Tena kumbuka, napenda sana kutowa darsa, kwani huu ujizi alionijaalia Allah kama sikuutowa kwa wasiokuwa nao ntakwenda nao wapi?

kiswahili cha wapi hicho(kwenye nyekundu)? halafu lugha ya kigeni utawezaje!? halafu kumbe wewe jizi(kwenye bluu) kumbe allah anajalia watu kuwa majizi!?
 
Maendeleo yetu hayachelewishwi na kutokujua kingereza, yanacheleweshwa na ufisadi wa viongozi wa Ccm.
Kuna ufisadi zaidi ya kuwadanganya wananchi kuwa hupokei posho wakati unasaini kila siku? Mbaya zaidi wanaingia after few minutes wanatoka. Ndicho wananchi walichowatuma kukifanya huko?
 
Ndio maana hatuendelei
kweli we REJAO! KWAHIYO ILI TUENDELEE LAZIMA TUJUE KIINGEREZA... SIO LAZIMA UCHANGIE UNAJIDHALILILISHA!
"Nimegundua una uvivu wa kuwaza ndiyo maana uingereza inatulazimisha tukupe haki yako." bY ONE OF jf MEMBERS.
 
walikuja wachina walioalikwa na ccm kutoka chama tawala huko china,hawajui kutamka hata neno moja la kingereza
Lakini hawajidai wanafahamu kiingereza wakati hawafahamu. Kwani huyo mh.angeandika kwa kiswahili kungekuwa na tatizo gani.
Mbaya zaidi jamaa anachimbia mkwara kwenye social network, what the hell is that? Kwanini asingewatafuta hao watu adeal nao kiume!
 
kwa anayeona hicho kiingereza cha sugu kimekosewa,aandike upya kwa kiingereza anachoona ni sahihi na sio kuvuvuzela kakosea kakoseaaa bila kusahihisha.
 
kweli we REJAO! KWAHIYO ILI TUENDELEE LAZIMA TUJUE KIINGEREZA... SIO LAZIMA UCHANGIE UNAJIDHALILILISHA!
"Nimegundua una uvivu wa kuwaza ndiyo maana uingereza inatulazimisha tukupe haki yako." bY ONE OF jf MEMBERS.
Amejidhalilisha kuchimbia mkwara kwenye social network kwa kingereza kibovu.Period!!
 
Kuwa mheshimiwa hakumuondolei yeye kuwa msanii hivyo ameandika kisanii zaidi au wewe Faiza ni mwalimu nini?
 
Matusi hayasaidii..unaonyesha ulivyo na akili ndogo kama za huyo aliyeandika upupu kwenye wall yake ya facebook.
Inawezekana akili yangu ni ndogo kweli lakini yako ni ndogo zaidi. Ninavyojua ww umetwaliwa ushabiki wa Magamba.
Huwezi kuzuia mvua mdogo wangu..we toa kejeli.. matusi ya nguoni..lamkini ukweli utabaki pale pale.. we ni pumba tu! Kuna Mchele..Na WATU WANAJUA.baki na ufala wako!
 
Kuwa mheshimiwa hakumuondolei yeye kuwa msanii hivyo ameandika kisanii zaidi au wewe Faiza ni mwalimu nini?

Wasanii hususan wa fani yake huwa wana vina katika maandiko yao, wakitumia lugha wanazozijuwa, sasa yeye katumia lugha asiyoifaham vizuri, hilo ndiyo tatizo.
 
kiswahili cha wapi hicho(kwenye nyekundu)? halafu lugha ya kigeni utawezaje!? halafu kumbe wewe jizi(kwenye bluu) kumbe allah anajalia watu kuwa majizi!?

Hilo ujuzi linajulikana wai kuwa ni typographical error na si kuto kujuwa, hayo mengine hebu yatamke kwa sauti halafu yaandike unavoyatamka, uone vipi ni sawa.
 
wewe jamaa sijui uko dunia ya ngapi hujui nini maana ya social network watanzania bwana tunapenda kujifanya kila kiyu tunajua wakati hatujui
 
Ingekuwa vizuri wewe unayeshangaa hicho kilichoandikwa ungeandika namna ilivyotakiwa kuandikwa. Chukua alichoandika Sugu na kirekebishe pale alipokosea.
Kwa wale wanaosema hatuendelei sababu ya Kiingereza, poleni sana. China inayofuata baada ya marekani na anayemfuatia (Japan) hawaongei kiingereza. Pambaff
 
Hilo ujuzi linajulikana wai kuwa ni typographical error na si kuto kujuwa, hayo mengine hebu yatamke kwa sauti halafu yaandike unavoyatamka, uone vipi ni sawa.

kujuwa=kujua. Vipi hiyo nayo ni typing error? Acha kutumia lugha usiyoijua vizuri.
 
Kingereza ndo kinakufanya uendelee? Basi china wangekuwa masikini kuliko watanganyika!
Acha kudakia kitu usichokijua kimeanzia wapi. Jaribu wakati mwingine kuwa unashirikisha ubungo wako wa mbele kabla ya kujibu post. Nimejibu hii post hapa ya FF
Daah halafu Kiingereza cha mbunge hicho? Si angeandika Kiswahili tu. Aibu tupu kuwa na wabunge sampuli hii.
Sijasema hatuendele kwasababu ya kiingereza, bali hatuendelei kutokana na kuwa wabunge vilaza kama huyu. Aibu tupu!! Eti mtu kama huyu ni mwakilishi!!
 
Acha kudakia kitu usichokijua kimeanzia wapi. Jaribu wakati mwingine kuwa unashirikisha ubungo wako wa mbele kabla ya kujibu post. Nimejibu hii post hapa ya FF

Sijasema hatuendele kwasababu ya kiingereza, bali hatuendelei kutokana na kuwa wabunge vilaza kama huyu. Aibu tupu!! Eti mtu kama huyu ni mwakilishi!!
Kazi kweli kweli.
167541_1390032369824_1802575517_750317_699599_n.jpg
 
Back
Top Bottom