Kampuni moja ya simu kupitia wafanyakazi wake wa hack simu ya sugu.....

Acha kudakia kitu usichokijua kimeanzia wapi. Jaribu wakati mwingine kuwa unashirikisha ubungo wako wa mbele kabla ya kujibu post. Nimejibu hii post hapa ya FF

Sijasema hatuendele kwasababu ya kiingereza, bali hatuendelei kutokana na kuwa wabunge vilaza kama huyu. Aibu tupu!! Eti mtu kama huyu ni mwakilishi!!

Rejao wewe ni Tahira, Sugu mbumbumbu wapi na wapi?
 
Tamka hilo neno kabla hujasema zaidi huwa una kuju a au kujuwa?

@FaizaFoxy:
Unajua unashangazaga sana, na anayekulipa kuandika haya unayoandika kweli hakupendi. Yaani sijui unaishi dunia gani, binadamu wa aina gani na ukilala unajifikiria vipi. nina uhakika nafsi yako inakusuta muda mwingine hasa ukilala. Laiti ungeligundua madhara ya vitu unavyoandika, sidhani ungetamani kuishi tena. Nakuombea ulaaniwe kwa jina la shetani.
 
Nashangaa sana watu ambao hawapendi kuuona ukweli wala kuona wengine wanaambiwa ukweli, hivi nyinyi ndiyo wale wapambe? mtu hata kama anakosea mnashindwa kumkosowa?

Sasa hivo alivyoandika Mheshimiwa Sugu kweli mnaona ni sawa kabisa Mheshimiwa atumie neno kama "cant" ambalo kwa lugha ya heshima ya Kiingereza huwa defined as "whining or singsong speech, especially of beggars".

Lakini siwashangai sana mnaoshikilia bango hapa, wengi wenu pengine bado hamjaelewa hata nnachokielezea ni nini?
 
@FaizaFoxy:
Unajua unashangazaga sana, na anayekulipa kuandika haya unayoandika kweli hakupendi. Yaani sijui unaishi dunia gani, binadamu wa aina gani na ukilala unajifikiria vipi. nina uhakika nafsi yako inakusuta muda mwingine hasa ukilala. Laiti ungeligundua madhara ya vitu unavyoandika, sidhani ungetamani kuishi tena. Nakuombea ulaaniwe kwa jina la shetani.

Pole sana mama ikiwa unaowategemea mashetani, hapa hawaoni ndani kwani mimi namtegemea Allah na sitegemei shetani, na mimi ni kiumbe bora kuliko hivyo vishetani vyako unavyovitegemea mpaka uape kwa jina lao. Nakusikitikia sana kwa kupotea kiasi hicho. Ndyo maana hunielewi, vishetani unavyovitegemea vinakupoteza hata ukweli huuoni uko wapi, sasa wewe na hivyo vishetani vyako mnajidanganya na mnamdanganya huyu Mheshimiwa kuwa alichoandika ni sawa. Unanchekesha!
 
Wadau mmeacha MADA,mnabishania suala Dogo kabisa,
mada ni juu ya watu wanaofanya UDUKUZ kwenye cm ya sugu
 
sugu sasa akue aache kuhangaika kushare his strategies kwenye social media na afanye kwweli

atafute audience na dr salim kwa lessons learnt

Unataka arudi kwenye ujima? Akina Obama wanatumia hizi media, sembuse Sugu!
 
Hilo ujuzi linajulikana wai kuwa ni typographical error na si kuto kujuwa, hayo mengine hebu yatamke kwa sauti halafu yaandike unavoyatamka, uone vipi ni sawa.

Ona sasa kujitia KUJUA sana,hapo kwenye red umechapia bi.mkubwa! ingekuwa sahihi ungeandika typing error, ukiremba sana lugha za watu kwa misamiati usiyokuwa na uhakika nayo lazima utaboronga! According to my dictionary:
TYPOGRAPHY means (i) the work of preparing written material for printing.
(ii) the arrangement,style, and appearance of printed words.
TYPE means to write something using a computer or a typewriter.
Choose yourself which is correct!

Halafu dada yangu kubali kusahihishwa pindi unapokuwa umekosea ubishi hautakusaidia! tafuta kamusi ya kiswahili utafute neno jua ili upate maana zake halafu tafuta neno juwa kama utaliona nalo upate maana yake/zake, kama kujua wewe unaandika na kutamka kujuwa basi sina budi kuamini wewe ni wa MBWINYU na si mswahili wa kariakoo kama unavojitanabaisha!
 
Kikwete anakijuwa Kiingereza huwezi kumkuta hata siku moja kaandika kama huyu mbunge wa magwanda. Au kamsome January, japo na yeye bado kwa kiasi fulani lakini ni bora kwa Kiingereza kuliko huyu kijana, halafu kuongea Kiingereza sio kuandika Kiingereza ni vitu viwili tofauti, kuna hata Waingereza chungu nzima ndio lugha yao mama lakini hawajui kukiandika. Fikiri.
Sawa bibi, ila huwa napata shida kila ninapoitazama picha hii
View attachment 42146
 
Daah halafu Kiingereza cha mbunge hicho? Si angeandika Kiswahili tu. Aibu tupu kuwa na wabunge sampuli hii.

anyway please tuandikie the same story aliyoiandika sugu in correct english language ....plllllllllllllllllz tuone kama na wewe unaweza??
 


kiswahili cha wapi hicho(kwenye nyekundu)? halafu lugha ya kigeni utawezaje!? halafu kumbe wewe jizi(kwenye bluu) kumbe allah anajalia watu kuwa majizi!?
Mkubwa! Kufatilia minor spell error ni kupoteza wkt na ni extravagancy za kb's zako! hatupo hapa kw ku'discus spell error mbona threads zako nyingi naziperuzi zaonesha perfomance yako iko juu, hapa umekuaje?
 
Sasa kama hajui Kiingereza kwanini hapo alitumia Kiingereza, mimi naona si vyema kwa mheshimiwa kwenda katika majukwaa yanayosomwa dunia nzima kuandika lugha asyoijuwa vuzuri. Au na Kiswahili hakijui?

Wenzake huwa wanatafuta wakalimani.

Hasa bwana mkubwa JK!
 
na ole wao wamdhulu sugu au kinega yoyote nguvu ya uma itawashukia mafisadi hawa kwanini wanatumia nguvu kumzima sugu there is something behind
 
Ingekuwa ni yeye mwenyewe ndiyo aliyoweka hayo maandishi humu wala usingeniuliza, mbona huwa natowa darsa humu kila siku.

Hata Zitto nimeshawahi kumsahihisha humu JF na barua yake yenye nembo ya bunge, nimeisahau tu ile nyuzi ningekuwekea hapa. Mbona mambo ya kawaida hayo. Tena nampa Mheshimiwa "offer" ya bure, kama Kiingereza kinamkwaza yeye ani pm tu, mimi ntamuandikia na yeye ndio atapata kujifunza kwani nna uhakika si mjinga, ni lugha tu inampiga chenga.

Tena kumbuka, napenda sana kutowa darsa, kwani huu ujizi alionijaalia Allah kama sikuutowa kwa wasiokuwa nao ntakwenda nao wapi?

Huyo ndo bibie FF, utampenda tu mbona!
 
Back
Top Bottom