Kampuni moja ya simu kupitia wafanyakazi wake wa hack simu ya sugu.....

C.T.U

JF-Expert Member
Jun 1, 2011
5,070
3,718
HABARI YA MOTO MOTO NI KWAMBA KUNA KAMPUNI MOJA YA SIMU KUPITIA WAFANYAKAZI WAKE WASIO WAAMINIFU WANAJARIBU KU HACK SIMU YA SUGU
HAYO YAMETOLEWA NA SUGU MWENYEWE KUPITIA MTANDAO WAKE WA FACEBOOK NA KUTISHIA KUWA SUE KWA LAWYER WA KIMATAIFA NA KUSISITIZA KUWA YUKO SERIOUS KAMA ANAVYOSEMA HAPO CHINI

Joseph Mbilinyi
‎...i hear some corrupted employees r helping some people to hack my phone...beware phone company,coz im gonna sue u with a foreign lawyer whom u cant corrupt...im serious!!!
 
Uoga huo.

Joseph Mbilinyi
‎...i hear some corrupted employees r helping some people to hack my phone...beware phone company,coz im gonna sue u with a foreign lawyer whom u cant corrupt...im serious!!!

Uoga huo.
 
hujamuona kikwete akipiga soga na obama huku anakibuti..acheni ujinga kizungu si lugha ya taifa...

Hatuongelei Kizungu hapa, tunaongelea Kiingereza alichotumia Mheshimiwa, kumbuka bungeni zinatumika lugha mbili, Kiingereza na Kiswahili.
 
kiingereza sio cha kukufanya uendelee carlos slim tajiri namba moja duniani hajui english vizuri anajua spanish
swahili sugu ndio lugha yake english ni option language jamani msiwe watumwa khaaaaaa

Hana haja ya kutumia lugha asiyoijuwa vizuri ndio maana tukasema atumie Kiswahili, huyo tajiri uliyemtaja hutamuona akitumia lugha asiyoijuwa sawasawa, ni nini kilichomfanya huyu Mheshimiwa kuandika lugha asoyoijuwa sawasawa?
 
hujamuona kikwete akipiga soga na obama huku anakibuti..acheni ujinga kizungu si lugha ya taifa...

Kikwete anakijuwa Kiingereza huwezi kumkuta hata siku moja kaandika kama huyu mbunge wa magwanda. Au kamsome January, japo na yeye bado kwa kiasi fulani lakini ni bora kwa Kiingereza kuliko huyu kijana, halafu kuongea Kiingereza sio kuandika Kiingereza ni vitu viwili tofauti, kuna hata Waingereza chungu nzima ndio lugha yao mama lakini hawajui kukiandika. Fikiri.
 
hatongelei kizungu hapa, tunaongelea kiingereza alichotumia mheshimiwa, kumbuka bungeni zinatumika lugha mbili, kiingereza na kiswahili.
suala la yeye kujua au kutokujua kiingereza kama mheshimiwa sio suala eti kisa bungeni wanatumia lugha ya kiswahili na kingereza hata kama hajui kiingereza na siku hiyo wakitumia lugha ya kingereza atapewa kifaa cha kutafsiri huoni kwenye mikutano mikubwa ya ma rais mbali mbali wakiwa hawajui english wanapewa machine maalum ya kutafsiri kwa lugha yao au wewe ulifikiri ni nini wanasikiliza mziki lol
so kama ma rais wakubwa kutokujua english sio inshu hata yeye mbunge sio inshu.....
Nawasilisha
 
Daah halafu Kiingereza cha mbunge hicho? Si angeandika Kiswahili tu. Aibu tupu kuwa na wabunge sampuli hii.

FF una bahati kuzaliwa kwenye royal family, ktk post inayoendelea umesema kisw ulifeli, naamini umesoma shule ambazo Kisw ni lugha ya pili.Naamini familia ako ina mchango mkuu ktk kutuanzishia sekondari za kata ili watoto wetu lau wapate elimu ya sekondari,leo watucheka kwa kingereza kibovu!
Hwvr ujumbe wa Sugu umeeleweka, Kingereza kibaya ni zao la utawala mbaya.
 
Daah halafu Kiingereza cha mbunge hicho? Si angeandika Kiswahili tu. Aibu tupu kuwa na wabunge sampuli hii.

Inasemekana Aliishi Ulaya na Marekani sasa sijui alikuwa shamba boy maana inawezekana hakuwa na nafasi ya kuonana na watu ndio maana hakunufaika ni uko kuishi ulaya.
 
Sugu asiogope hawawezi kufanya kitu chochote cha zaidi wanaweza ona nani amekupigia au nani umempigia,hawawezi ku-kuhack coz mteja m1 ana thamani kubwa sana ndo maana hata vuai nahodha alinyimwa data kutoka kwenye makampuni ya simu coz inaingilia uhuru wa watu,wao wanaweza kukutrace upo wapi thru ur #
 
Hana haja ya kutumia lugha asiyoijuwa vizuri ndio maana tukasema atumie Kiswahili, huyo tajiri uliyemtaja hutamuona akitumia lugha asiyoijuwa sawasawa, ni nini kilichomfanya huyu Mheshimiwa kuandika lugha asoyoijuwa sawasawa?

ukikeketwa lazima uwe punguani kwenye ubongo . Pole.
 
Back
Top Bottom