FaizaFoxy
Platinum Member
- Apr 13, 2011
- 92,881
- 109,192
Hebu msahihishe alivyopaswa kuandika. Nahisi ungefaa kuwa PS wake.
Ingekuwa ni yeye mwenyewe ndiyo aliyoweka hayo maandishi humu wala usingeniuliza, mbona huwa natowa darsa humu kila siku.
Hata Zitto nimeshawahi kumsahihisha humu JF na barua yake yenye nembo ya bunge, nimeisahau tu ile nyuzi ningekuwekea hapa. Mbona mambo ya kawaida hayo. Tena nampa Mheshimiwa "offer" ya bure, kama Kiingereza kinamkwaza yeye ani pm tu, mimi ntamuandikia na yeye ndio atapata kujifunza kwani nna uhakika si mjinga, ni lugha tu inampiga chenga.
Tena kumbuka, napenda sana kutowa darsa, kwani huu ujizi alionijaalia Allah kama sikuutowa kwa wasiokuwa nao ntakwenda nao wapi?