Kampuni moja ya simu kupitia wafanyakazi wake wa hack simu ya sugu.....

Ona sasa kujitia KUJUA sana,hapo kwenye red umechapia bi.mkubwa! ingekuwa sahihi ungeandika typing error, ukiremba sana lugha za watu kwa misamiati usiyokuwa na uhakika nayo lazima utaboronga! According to my dictionary:
TYPOGRAPHY means (i) the work of preparing written material for printing.
(ii) the arrangement,style, and appearance of printed words.
TYPE means to write something using a computer or a typewriter.
Choose yourself which is correct!

Halafu dada yangu kubali kusahihishwa pindi unapokuwa umekosea ubishi hautakusaidia! tafuta kamusi ya kiswahili utafute neno jua ili upate maana zake halafu tafuta neno juwa kama utaliona nalo upate maana yake/zake, kama kujua wewe unaandika na kutamka kujuwa basi sina budi kuamini wewe ni wa MBWINYU na si mswahili wa kariakoo kama unavojitanabaisha!

Kwaaaakwakakwaaaaa, nakusikitia sana kwa kwenda kupekuwa ni dikshenari uchwa, bado hujajuwa, lakini hivyo ndivyo inavyo takiwa ubukuwe na uwe makini.
 
Kwani ukiwa mbunge maana yake unawawakilisha wananchi wako kwenye Debate ya ENGLISH CLUB?

Ukiwa mbunge unapata hadhi ya Uheshimiwa na ukiwa Mheshimiwa unatakiwa ujumbe unaoutowa siku zote uwe wa heshima na unafanana na hadhi yako, si huu ulioletwa hapa mpaka sasa nashindwa kuamini kama hii kitu kaandika Mheshimiwa Sugu, Mbunge wa Jiji la Mbeya.
 
nimegundua kitu huyu FF na REJAO SIJUI REJEA wamelipwa na maadui wa sugun ili waipindishe maada sasa tumeshtukia so plz guys TUJADILINI MAADA HUSIKA
@FF , NA REJEA SIJUI REJAO
 
Wewe unaekijua uko wapi saizi na unafanya nini?? Acha dharau wewe...njaa tu inakusumbua!!

Kumweka mtu sawa si dharau ni kumpenda, kumdanganya mtu kuwa anafanya sawa wakati hafanyi sawa ni kumdharau.

Mimi sasa hivi nipo nyumbani kwangu, nawapa darsa watu kama wewe kupitia humu JF.
 
Ukiwa mbunge unapata hadhi ya Uheshimiwa na ukiwa Mheshimiwa unatakiwa ujumbe unaoutowa siku zote uwe wa heshima na unafanana na hadhi yako, si huu ulioletwa hapa mpaka sasa nashindwa kuamini kama hii kitu kaandika Mheshimiwa Sugu, Mbunge wa Jiji la Mbeya.

hacha upuzi wewe mwanamke sijui hata kwann ban yako walikufungulia maana unajaza upuzi 2'humu huna kaz ya kufanya???
 
nimegundua kitu huyu FF na REJAO SIJUI REJEA wamelipwa na maadui wa sugun ili waipindishe maada sasa tumeshtukia so plz guys TUJADILINI MAADA HUSIKA
@FF , NA REJEA SIJUI REJAO

maada = mada

Hiyo ya "sugun" natambuwa kuwa ni typographical error kwa hiyo sikusahihishi. Unafanya vyema.
 
inatosha sasa tujadili kama kichwa cha habari kinavyosema

Kuhusu mada iliyopo, kwanza kabisa ujuwe kuwa Serikali ina mitambo ya kiusalama ya kuweza kuingia, kurekodi na kutazama kumbukumbu zote zinazopitia kwenye simu ya mtu yoyote kuhusu mambo yanayohusiana na usalama. Ukiwa kwenye nyadhifa hizi kama za huyu Mheshimiwa Sugu hilo ni jambo dogo sana.

Kuna wakati hapahapa JF yaliletwa majadiliano ya sms ya Mheshimiwa Zitto na wengineo, kwa Mheshimiwa Sugu ni mambo ya "hear"say tu na hayana uzito wowote angekuwa na ushahidi kamili, hapo lingejadilika. Na lugha alyoitumia kusambaza huo ujumbe wake ni ya kusikitisha kutoka kwa Mheshimiwa Sugu kama ni kweli ndiyo yeye aliyeandika huo ujumbe, mpaka sasa nashindwa kukubali.
 
Daah halafu Kiingereza cha mbunge hicho? Si angeandika Kiswahili tu. Aibu tupu kuwa na wabunge sampuli hii.

Ndio maana hatuendelei

:embarassed2::embarassed2: 299895_274055325965759_100000838807124_672585_1581698694_n.jpg
 
Back
Top Bottom