Ruhazwe JR
JF-Expert Member
- Jan 31, 2011
- 3,403
- 920
Kuna watu humu kama Arushaone, Erickb52, Mr Rocky, Asprin, PakaJimmy Bishanga, na hata mwanzisha thread Ruhazwe JR hawataweza kupiga kura humu..............jamaa ni dhaifu kwa warembo watashindwa kuchagua..........sie freelance haoooooo................ Mie kweli kura yangu imedondokea kwa my waifu wa Baba V Arabela.............. Ruttashobolwa tokea apewe kibuti hata kuchungulia humu hataki
ha,ha,ha,...............leo umeniua kabisa mkuu,.....teh,te,
Last edited by a moderator: