Kampeni, naomba tumpe kura zetu Arabela

Baba V

JF-Expert Member
Dec 29, 2010
19,482
9,517
Wapendwa wana chit-chat mzee mzima naja kwenu kuwaomba kura mumpigie huyu mrembo Arabela , naanza na wewe C6 , charminglady kaa pembeni lea mwanetu huyo tumboni, mambo ya 'CAT WALK' jukwaani na ujauzito usijetuletea mtoto ana matege mama, Erickb52 naomba kura yako iende kwa Arabela, Mamndenyi, Kaizer BAK , awp The Boss , TANMO Gwangambo , lara 1 kamalize kwanza msala wako na boss ndo uje kwenye mashindano, Arushaone , @figganiga, Asprin na wake zako BADILI TABIA cacico na Yummy kura zenu ni muhimu, Ruhazwe JR pamoja na nafasi yako naomba kura yako, manoah mpigie kura Arabela , Rejao Ritz na zomba tumemaliza kwenye udiwani tumieni zile mbinu tufanikishe ushindi kwa Arabela , wapi PakaJimmy na Filipo Zinduna nahitaji kura yako kwa Arabela , mwaJ , Kaunga , MadameX , Blaki Womani , princess enny , Mtambuzi na mume mwenzio muuza ubuyu na mwanenu King'asti nawategemeeni, Bishanga na Kongosho sitisheni libeneke japo kwa dakika mbili mumpigie kura Arabela, wadau wa CC tuko wengi tunaendelea hata kama sijakutaja ka mchina kamejaa, ngoja nihamie kwenye desktop ntarudi kwenu, pamoja sana kura kwa Arabela
 
Last edited by a moderator:
Chit chat nipeni kura zenu nilete mageuzi, MADA MOTO MOTO, Itakuwa Addictive!!!!!!!! Yaani Entertainment is my thing wadau, Yaani nina mipango mizito ndo naandaa SPEECH ya kuzindua kampeni zangu rasmi!!!!!!!!!! (ALWAYS IN STYLE!!!!!)

"Kwa RAHA ZAIDI, URODA ZAIDI, UTAMU ZAIDI NA MAHABAT ZAIDI NDANI YA CHIT CHAT VOTE FOR LARA 1 (KUBA LA MAADUI) "

Ndo slogany yangu ya kampeni, haya COPY N PASTE leteni zenu ila LARA 1 ndo nimeanzisha!!!!!!
 
you have already got mine!
 
Ngoja nikufikirie kwanza...Naangalia upepo kwanza...Ila unaushawishi dada ww khaa...
 
Jaman jaman Baba V mmemsikia usifanye makosa ukaja jilaumu mtu sahihi ni me Arabela. Please vote for me
 
Chit chat nipeni kura zenu nilete mageuzi, MADA MOTO MOTO, Itakuwa Addictive!!!!!!!! Yaani Entertainment is my thing wadau, Yaani nina mipango mizito ndo naandaa SPEECH ya kuzindua kampeni zangu rasmi!!!!!!!!!! (ALWAYS IN STYLE!!!!!)

"Kwa RAHA ZAIDI, URODA ZAIDI, UTAMU ZAIDI NA MAHABAT ZAIDI NDANI YA CHIT CHAT VOTE FOR LARA 1 (KUBA LA MAADUI) "

Ndo slogany yangu ya kampeni, haya COPY N PASTE leteni zenu ila LARA 1 ndo nimeanzisha!!!!!!

Wewe kamalize kwanza msala wa PEF urudi hapa december, umesikia!??? asiyeskia la mkuu......!? kwanza Zinduna amerudi..., do you know her!!????
 
Last edited by a moderator:
Lara 1 hagombei?????akigombea lara lazima nimpe kura yangu bt kama hagombei naomba yeyote anishawishi nimchague
 
Chit chat nipeni kura zenu nilete mageuzi, MADA MOTO MOTO, Itakuwa Addictive!!!!!!!! Yaani Entertainment is my thing wadau, Yaani nina mipango mizito ndo naandaa SPEECH ya kuzindua kampeni zangu rasmi!!!!!!!!!! (ALWAYS IN STYLE!!!!!)

"Kwa RAHA ZAIDI, URODA ZAIDI, UTAMU ZAIDI NA MAHABAT ZAIDI NDANI YA CHIT CHAT VOTE FOR LARA 1 (KUBA LA MAADUI) "

Ndo slogany yangu ya kampeni, haya COPY N PASTE leteni zenu ila LARA 1 ndo nimeanzisha!!!!!!

yangu umepata
 
Wewe kamalize kwanza msala wa PEF urudi hapa december, umesikia!??? asiyeskia la mkuu......!? kwanza Zinduna amerudi..., do you know her!!????

Hahahahaaaaa! Baba V huna hamu ya kuona NITATOKA VIPI KIKAMPENI??????? Zinduna jana kanipiga dongo eti mie napenda sana mbesaaaa!
 
Last edited by a moderator:
yangu umepata

Good Choice!!!!! UMEJOIN THE WINNING TEAM YA WATU WA UKWEEEE NA UHAKIKAAAAA!!!!!!!!!!! (Kama bado hujapiga jiulizeee jeeee wewe ni wa UKWEEEEEEEEEEEEEEEE!!!!!!! kama ndio vote for LARA 1 TOTO LA UKWEEEE NA UHAKIKA!!!!!!)
 
Ngoja nikufikirie kwanza...Naangalia upepo kwanza...Ila unaushawishi dada ww khaa...

Good Choice!!!!! UMEJOIN THE WINNING TEAM YA WATU WA UKWEEEE NA UHAKIKAAAAA!!!!!!!!!!! (Kama bado hujapiga jiulizeee jeeee wewe ni wa UKWEEEEEEEEEEEEEEEE!!!!!!! kama ndio vote for LARA 1 TOTO LA UKWEEEE NA UHAKIKA!!!!!!)
 
you have already got mine!

Good Choice!!!!! UMEJOIN THE WINNING TEAM YA WATU WA UKWEEEE NA UHAKIKAAAAA!!!!!!!!!!! (Kama bado hujapiga jiulizeee jeeee wewe ni wa UKWEEEEEEEEEEEEEEEE!!!!!!! kama ndio vote for LARA 1 TOTO LA UKWEEEE NA UHAKIKA!!!!!!)
 
Good Choice!!!!! UMEJOIN THE WINNING TEAM YA WATU WA UKWEEEE NA UHAKIKAAAAA!!!!!!!!!!! (Kama bado hujapiga jiulizeee jeeee wewe ni wa UKWEEEEEEEEEEEEEEEE!!!!!!! kama ndio vote for LARA 1 TOTO LA UKWEEEE NA UHAKIKA!!!!!!)

mapema sana nishafanya hvo
 
Kesho mchana kutakuwa kuna party ya mbege kwa wapiga kura wote, bureeeeeee, venue ni bilicanas.
 
Back
Top Bottom