Kampeni, naomba tumpe kura zetu Arabela

Ngoja nikufikirie kwanza...Naangalia upepo kwanza...Ila unaushawishi dada ww khaa...

Mkuu tedo , kura mpe Arabela bana, huyo lara 1 full stress, nimemshauri akamalizane kwanza na boss wake ndo aje kwenye mashindano ya December ambapo hata mie ntampigia kura but for now, it is time for Arabela
 
Last edited by a moderator:
Lara 1 hagombei?????akigombea lara lazima nimpe kura yangu bt kama hagombei naomba yeyote anishawishi nimchague
This month kura kwa Arabela mkuu Advicer , lara 1 analazimisha tu kugombea mwezi huu ila ana stress kibao na boss wake wamenyimana nini sijui afu wakajaziana vibaya form gani sijui, ana kaaazi kwelikwelii
 
Last edited by a moderator:
Fujo, kelele na mapepe ya wauza sura visikubabaishe, chagua Arabela!!

Na wewe nimuachie nani ?
Huoni unanipoka my legally rights of votin ?
Then procedure zina allow mtu kumchagulia mtu?
Unanichagulia?
 
Last edited by a moderator:
Mkuu tedo , kura mpe Arabela bana, huyo lara 1 full stress, nimemshauri akamalizane kwanza na boss wake ndo aje kwenye mashindano ya December ambapo hata mie ntampigia kura but for now, it is time for Arabela

Mimi JESHI LA MTU MMOJA BABA V!!!!!!!!!!! Mambo yangu si umeyaonaaaaaaaaaaaaaa! KAMPENI PROFESSIONAL KAMA OBAMA !!!!!!!!!!!
 
Mimi JESHI LA MTU MMOJA BABA V!!!!!!!!!!! Mambo yangu si umeyaonaaaaaaaaaaaaaa! KAMPENI PROFESSIONAL KAMA OBAMA !!!!!!!!!!!

Chukua ushauri wa baba v la sivyo utakuwa kama huyu
 
Attachments

  • mrembo wa ukweli.jpg
    mrembo wa ukweli.jpg
    12.2 KB · Views: 18
Wangu unajua fika siwezi fanya hivyo! Labda wewe ndio ufanye hivyo!

Mpenzi wangu ina maana mimi kwenda mazishini huku nyuma umeshaanzisha mahusiano na wanawake wengine?
Ruttashobolwa unanisaliti hata mimi?
Ngoja nirudi tupambane@Aghrr??@/@!.
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom