JF Arusha Wing tunakwenda Korogwe Kumpa Mkono wa Pole KOKUTONA. Please Join us.

Arushaone

JF-Expert Member
Mar 31, 2012
15,136
13,258
Ndugu WanaJF,
Heshima kwenu mabibi na mabwana .
Kwa heshima na taadhima nimshukuru MUNGU kwa kutukutanisha kupitiamtandao huu.
JF Arusha tulikuwa na kikao siku ya Ijumaa tarehe 05.04.2013
Chini ya viongozi wetu ; PakaJimmy na Katibu Mzee wa Rula
na kimsingi wanachama tulikubaliana kuwa si busara kama kuna chochote tulicho-contribute
tumrushie kwa M-PESA tu na kuacha digital ifanye kazi yake ,…bigNO!!
Tulishauriana turudi kwenye analojia kwa baadhi ya memberskwenda live eneo la tukio ambako ni KOROGWE kumpa mkono wa pole dada KOKUTONA .
Kumbuka habari hii ya kusikitisha tuliyoipata majuzi;
https://www.jamiiforums.com/mahusia...mba-mwenzetu-kokutona-apoteza-mtoto-wake.html

Kwenu ambao mpo pande zote nne za dunia hii, tunakuomba utusindikizekwenda kumfariji KOKUTONA siku ya JUMAMOSI 13.04.2013.
Labda kuna wengine hawatoweza kwenda na wangependa kumpachochote, tafadhali tumia namba hii 0763 774 644 kutuma chochotekwa M-PESA to show that you care.( Baadaye utatoa ID yako ili KOKUTONA akitoathread ya shukrani uandikwe na kiasi ulichotoa (kwa ruksa yako)
Kwa wenzetu wa Dar wing wasilianeni na Madame B na Mtambuzi kwani mpaka sasa ndio walio-confirm uwepo wao KOROGWE .
RIP Marehemu Erick JR.

Nitaorodheshabaadhi ya members hapa na kama hujajiona hakika bado unahusika. Habari hiziZiwafikie
Asprin AshaDii Amyner Arabela Android andybird314 Asnam ADK Asulo afrodenzi Aggrey86 Anita Baby AmKATRINA BAGAH Bishanga Blaki Womani Bulldog beibe nasty Baba V Boflo Bondpost by default Babuu blessed Bujibuji BHULULU BADILI TABIA dubu bird cacico C6 charminglady Cantalisia COURTESY Chibolo Codon Catherine Chilli Dark City Dena Amsi Erickb52 eli Edson eversmilin Filipo Erotica FP FirstLady1 figganigga gfsonwin GECHANYA ipad IGWE Jaslaws Jiwe Linaloishi Judgement jeneneke Kaizer KARIA Katavi Kaunga kapistrano Kipipi Kimbweka King'asti Kongosho KING Kingo KakaKiiza Kapalampya LiverpoolFC Losambo lara 1 lily Lily Flower Mamndenyi muhanga mtu chake Mada mtundu Mabreka Mr Rocky Mbuzi Mzee MKATA KIU Mtambuzi mikela Madame B MadameX Mtoboasiri Mpenda Yesu Money stunna Mphamvu marejesho Marekebisho Mkusa MUSSOLIN MAMMAMIA Mtalingolo mathematics mase88 manoah Mungi muuza ubuyu matongo manawa mfarisayo Mentor Majigo Mr Q majany Mtoto halali na hela Mwanyasi mwa mwaJ Mzee wa Rula Neylu ney kush Ngeli Nyakwec's Bro Natalia NORTHERN ROCK Nicas Mtei Mzee Mwanakijiji Ngaliba Dume Ndahani ndetichia Nokla Nicole PakaJimmy Preta platozoom patience96 pretty n Remmy Rejao Rungu Ruzyfar Rweye Ronn M Ruhazwe JR Roulette Ruttashobolwa stevoh Swts Smile Smiles Passion Lady St. Paka Mweusi sweetlady Lucas Shark Suprise snowhite SnowBall Slave The secretary TIQO tedo sanga UKI Vin Diesel ummu kulthum Wakati Wozoza watu8 Young Master YouTube Yummy Zinduna zubedayo_mchuzi Zion Daughter zomba Mwita Maranya The Boss, mgaza2001, The Finest, Chauro, Matola, mama D, Mshawa Thanda, The Boss, Mtumishi Wetu, Nazjaz mfumo, Ndukidi Paxman WomanOfSubstance, double R MwanajamiiOne Kichuguu H1N1 moto2012 Albedo HorsePower Iman johnn Kichuguu Bigbro vanmedy BelindaJacob EMT Tuko MTM, Eiyer klorokwini Nyamayao LD Maty Nivea among all.
Kwa dhati kabisa natambua uwepo wa wakuu wetu Maxence Melo Invisible Paw Fang Silencer PainKiller Buchanan Cookie Meezy na wale wengine ambao nimewasahau.



TUMTANGULIZE MUNGU KWA KILA JAMBO.
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom