Kampeni, naomba tumpe kura zetu Arabela

Last edited by a moderator:
Kesho mchana kutakuwa kuna party ya mbege kwa wapiga kura wote, bureeeeeee, venue ni bilicanas.

Siasa na chitchat wapi na wapi mkuu? mbona unakuwa banda umiza mpaka huku mazee? hahahaaaa.......BTW, kesho nakuletea live bila chenga hotuba ya rais wetu mpendwa Mhe. Dr. Dr. Dr. Jakaya Kikwete
 
arabela arabela arabela arabela arabela arabela arabela arabela arabela arabela arabela arabela pliiiiiiiz vote for arabela
 
"Mzee wa hukumu"
Where do i send my value vote ?
Just a littlebit am waitin contestants list , then i'll be make my Judgement ! Decision .
 
Hahahahaha

Mbona nimepiga kura au unioni kivip?
Nime pigwa kibuti na nani?

Kuna watu humu kama Arushaone, Erickb52, Mr Rocky, Asprin, PakaJimmy Bishanga, na hata mwanzisha thread Ruhazwe JR hawataweza kupiga kura humu..............jamaa ni dhaifu kwa warembo watashindwa kuchagua..........sie freelance haoooooo................ Mie kweli kura yangu imedondokea kwa my waifu wa Baba V Arabela.............. Ruttashobolwa tokea apewe kibuti hata kuchungulia humu hataki
 
Last edited by a moderator:
Hahahahaha

Mbona nimepiga kura au unioni kivip?
Nime pigwa kibuti na nani?

Mpenzi wangu ina maana mimi kwenda mazishini huku nyuma umeshaanzisha mahusiano na wanawake wengine?
Ruttashobolwa unanisaliti hata mimi?
Ngoja nirudi tupambane@Aghrr??@/@!.
 
Last edited by a moderator:
"Mzee wa hukumu"
Where do i send my value vote ?
Just a littlebit am waitin contestants list , then i'll be make my Judgement ! Decision .
Your judgement should be in favour of Arabela , please!!!!
 
Last edited by a moderator:
3 Reactions
Reply
Back
Top Bottom