hodogo
JF-Expert Member
- Mar 11, 2012
- 238
- 93
Kwenye siasa kuna assets na liabilities, you can only turn asset into a liabilitie but you can't turn a liability into asset!. Mwanzo nilidhani EL ni asset ya CCM, kwa survivor ya 2015!, baada ya kuosoma mahali kuhusu "safety net" ya Billioni 400, then nime reach conclusssion 2015, ni CCM tena, with or without EL!. He was once an asset, now he is a liability jiust like ZZK kwa Chadema. Namna pekee ya turning liabilities into assets ni disposal off and salvage whatever is left na kuitop up kwenye re-investiment scheme!.
Nimeirudia taarifa yako hii mara tatu! Mara zote nimekua nikijiuliza mwandishi huyu ni PASCO tunayemjua humu jamvini au copy yake! Mtu wangu hekima uliyoiweka hapa ni kubwa na itabaki kuwa rejea kwa wengi wanaoweza kuzioanisha terminology za kihasibu,na kiuchumi kisha kuzivika viatu vya kisiasa vizuri. At last Pasco unakubaliana na usemi wa wahenga LA KUVUNDA MZEE HALINA MAFUSHO!!!