Kambi ya Lowassa Inapumulia Mashine ndani ya CCM, Ndoto za Urais zazidi kuota mbawa

Kwenye siasa kuna assets na liabilities, you can only turn asset into a liabilitie but you can't turn a liability into asset!. Mwanzo nilidhani EL ni asset ya CCM, kwa survivor ya 2015!, baada ya kuosoma mahali kuhusu "safety net" ya Billioni 400, then nime reach conclusssion 2015, ni CCM tena, with or without EL!. He was once an asset, now he is a liability jiust like ZZK kwa Chadema. Namna pekee ya turning liabilities into assets ni disposal off and salvage whatever is left na kuitop up kwenye re-investiment scheme!.
Let me remind you that, sometimes money cant buy everything! Owning a safety net of 400B doesnt mean you have already won the votes of majority!
 
Yule Fisadi nguli Edward Lowassa ambaye ndio dume la mbegu la CCM, anaendelea kupiga hatua kivitendo wakati wapinzani wake ndani ya CCM wakiendelea kuropoka kama chiriku tu!
 
Mziki wa Lowassa ndani ya CCM haupimiki.

Walijaribu kumvua gamba wakashindwa, sasa yeye kaamua kuwavua nguo tena hadharani kabisa.

Alianza Arumeru Mashariki(Akimvusha Sioi),

Akaenda Bariadi(Chenge akapita bila kupingwa),

Akaenda Sengerema(Ngeleja akapita kwa kishindo),

Akapita Kagera(Fisadi Karamagi akashinda)

Akaja Hanang(Mwanamama Mary Nagu akamnyoa kipara Sumaye),

Dume la mbegu la CCM likamaliza kazi Monduli kwa kishindo.
 
Kwenye siasa kuna assets na liabilities, you can only turn asset into a liabilitie but you can't turn a liability into asset!. Mwanzo nilidhani EL ni asset ya CCM, kwa survivor ya 2015!, baada ya kuosoma mahali kuhusu "safety net" ya Billioni 400, then nime reach conclusssion 2015, ni CCM tena, with or without EL!. He was once an asset, now he is a liability jiust like ZZK kwa Chadema. Namna pekee ya turning liabilities into assets ni disposal off and salvage whatever is left na kuitop up kwenye re-investiment scheme!.

Pasco: In this world we live in anticipation. We are not sure of what the future holds. You never know even the "safety net" you came across can lead to failure or success. This will depend on the level of understanding by the voters if such "safety nets" have helped them or not!! They could be tired of them you know!!!!
 
Mwenyezi Mungu atusaidie sie watz Kwani tuna mkosi gani mpaka EL awe rais wa nchi hii?
 
Edward Lowassa kupendekezwa kugombea urais zitabaki kuwa ''Ndoto'', Tena ndoto ya mchana kweupe ni Kufikiria kuwa anaweza kuchaguliwa na watanzania kuwa Rais 2015.

WANANCHI HIVI SASA HATUFIKIRII NANI ATAKAYEKUWA RAIS 2015, BALI KATIBA MPYA ITAKAYOTENGENEZA MSINGI NA MFUMO BORA WA KUONGOZA NCHI NA RASLIMALI ZAKE KWA MASLAHI YA WATANZANIA SIO CHAMA,MGOMBEA AU KUNDI LOLOTE, Kwa maoni yangu C.C.M wangeanza kumfikiria Salim Ahmad Salim Ningewaona wana Busara.
 
Nafuata tuu principles of laws of motion na mambo ya genetics na mutatitions!. " Human being are not static!, they are dynamics and hence they change with time"!. My favourate ni EL, kwa vile with bilioni 400 za "safety net", EL now is a liability!, kwa sasa Membe ndie "asset"!, sisi tunacheza na timu ya washindi!.

"Kwenye politics, hakuna permanent friends or enemies, we only have a common interests!. Mimi interest yangu ni 2015, Taifa letu lipate ukombozi wa kweli wa pili wa Mtanzania!, nili bank on EL kuwa atatupatia ukombozi huo1, now he is a liability akisubiria disposal off, then, its my right not to sail with the sinking ship!. Kama hata Mzee Mwanakijiji anakutajia Membe!, the who are you kubisha!.
P.

I am still banking on EL.
 
Mwenyezi Mungu atusaidie sie watz Kwani tuna mkosi gani mpaka EL awe rais wa nchi hii?
Unajua nchi hii inaendelea kua masikini kwa ajili tu ya mikataba mibovu mafisadi walisaini. Unajua ni nani alionyesha uamuzi mgumu wa kuanza kufuta hiyo mikataba? Ni EL, alifuta CITYWATER, alitaka kufuta Ruchmond Dhaifu akaingilia kati. Mnataka nini tena Watanzania?
 
Pasco: In this world we live in anticipation. We are not sure of what the future holds. You never know even the "safety net" you came across can lead to failure or success. This will depend on the level of understanding by the voters if such "safety nets" have helped them or not!! They could be tired of them you know!!!!
Mkuu Makundi, kufikia 2015, barabara za juu na chini!,
elimu bure!,
afya bure!
"Safety Net" ijaze watu mapesa mifukoni!,
Then useme CCM isichaguliwe tena!,
Huu utakuwa ni ukosefu mkubwa wa "Shukrani"!.
P.
 
:embarassed2: YA KAIZARI MPENI KAIZARI, YA MUNGU MPENI MUNGU NA YA EL MPENI EL :embarassed2::embarassed2:
 
Katika hali ya kushtusha kambi ya mwanasiasa mkongwe, mashuhuri na maarufu sana mh Edward Lowassa imezidi kuzorota ndani ya chama hicho kikongwe kilichojaa mizengwe na makundi makubwa ya kuwania urais 2015. Kuzorota huko kumetokana na mambo mengi yakiwemo wasiwasi uliotanda ndani ya kambi hiyo kuwa waziri mkuu huyo mstaafu ana matatizo makubwa ya kiafya na hivyo kufifiza matumaini ya kuwa mgombea muafaka wa kambi hiyo. ....
Wengine tuliyaona hayo!kwa nje huyu el anatisha kumbe kwa ndani ameoza!Yaani ni sawa na chui wa karatasi!
 
Nafuata tuu principles of laws of motion na mambo ya genetics na mutatitions!. " Human being are not static!, they are dynamics and hence they change with time"!. My favourate ni EL, kwa vile with bilioni 400 za "safety net", EL now is a liability!, kwa sasa Membe ndie "asset"!, sisi tunacheza na timu ya washindi!."Kwenye politics, hakuna permanent friends or enemies, we only have a common interests!. Mimi interest yangu ni 2015, Taifa letu lipate ukombozi wa kweli wa pili wa Mtanzania!, nili bank on EL kuwa atatupatia ukombozi huo1, now he is a liability akisubiria disposal off, then, its my right not to sail with the sinking ship!. Kama hata Mzee Mwanakijiji anakutajia Membe!, the who are you kubisha!.P.
Mkuu, ulikwisha kutoa unabii kuhusu anguko la EL! Tunachoshindwa kuelewa kwamba kufa ni kufa aidha kwa kugongwa na gari, ukimwi, upele...Lakini ni kufa tu! Lini? God knows!
 
du! pamoja na kushinda NEC kwa 99% bado tu Lowasa amekalia kuti kavu!!
so propaganda hizi!
Anyway mambo ya ngoswe mwachie Ngoswe.
 
katika hali ya kushtusha kambi ya mwanasiasa mkongwe, mashuhuri na maarufu sana mh edward lowassa imezidi kuzorota ndani ya chama hicho kikongwe kilichojaa mizengwe na makundi makubwa ya kuwania urais 2015.......... Je hii inamanisha samwel sita anajipanga ama ni matokeo tu?
aliyeandika uzi huu ni mtu anaejua mengi,japo ameandika kwa style ya kurusha jiwe kizani...nahisi namjua,goja niishie hapa,lakini nakiri ni mtu anaejua mengi yanayoendelea ambayo si rahisi kuonekana na watu wa kawaida.
 
hivi alietaka kuwe na plan B kambini alikua nchimbi kumbe!as far as i know alikua ni Lau Masha,pengine siko sahihi but all in all there was something like that kambini
 
Unajua nchi hii inaendelea kua masikini kwa ajili tu ya mikataba mibovu mafisadi walisaini. Unajua ni nani alionyesha uamuzi mgumu wa kuanza kufuta hiyo mikataba? Ni EL, alifuta CITYWATER, alitaka kufuta Ruchmond Dhaifu akaingilia kati. Mnataka nini tena Watanzania?

Angeyasema hayo bila kumung'unya maneno na Tanzania yote ikamsikia huenda image yake ingeonekana vingine , lakini haya ya kusemea hapa jamvini haimsaidii kabisa. Achukuwe maamuzi magumu ya kuueleza umma ukweli tena ukweli wote kuhusu Richmond, vinginevyo EL mbele ya watanzania ni fisadi nyangumi.Aseme ukweli na ukweli utamuweka huru.
 
Acha kiherehere wewe,kama iko hoi kwa nini usilale,ya nini uumize kichwa basi...all i know is that EL is such a hard nut to crack,he will make you wet your pants till cows come home!
 
Nguvu inayotumika kujadili mgombea wa CCM 2015 inashangaza sana.Ni kama vile mgombea wa CCM ndiye rais ajaye wakati watu wameshaikana hiyo CCM? Jamani nchi hii sio Dodoma na Dar(lumumba) pekee!
 
acha uongo mdau sababu zako zote ni za fitina,yani mtu angare NEC na kushinda then unakoment uongo.kiujumla wewe ni nafiki kama sitta,lowassa na nchimbi wote ni viongozi bora usitie doa kwa unafiki wako,pili wewe unasemea afya za watu wewe umekuwa mwnafamilia ya el ili usemee afya yake,au unafuata nyayo za sita,wewe ni hovyooooooooooooo
 
Back
Top Bottom