Old - Hand
JF-Expert Member
- Apr 9, 2017
- 2,042
- 1,898
Kwa iyo hamtaki ulinzi mnataka stand
Wanalinda nini?Kwa iyo hamtaki ulinzi mnataka stand
Hujui unachoongea.Unaongea mambo ya zamani sana zama za vita vya Kagera.
Huu ndio ujinga na hoja za kipuuzi mnazotumia kuitawala Zanzibar kimaguvu sasa hivi mpaka mtu wa Mkuranga anakuwa Rais Zanzibar wakati Wazanzibar wenyewe wapo.
Wewe ndio hujui lolote, ndio mnaowadanganya watu eti Zanzibar ni muhimu kwa usalama wetu wakati sasa hivi unaweza kushambuliwa kutokea mbali.Hujui unachoongea.
Sio Zanzibar tu.... Comorros na Seyschelles zote ni muhimu kwa usalama wetu.Wewe ndio hujui lolote, ndio mnaowadanganya watu eti Zanzibar ni muhimu kwa usalama wetu wakati sasa hivi unaweza kushambuliwa kutokea mbali.
Your wellbeing.Wanalinda nini?
Mkuu yule chui ana nn hadi aingizwe hapa 🤣🤣🤣Watakuja watusi kutoka kwa paka wataweka bugs zao ndio mtaelewa.
Waende Misri (Masri) wakajifunze jeshi lao limetumia njia zipi kumiliki uchumi mkubwa?Hadi leo nasikitika sana jinsi wanajeshi walivyonajisi kambi ya Lugalo kwa kujenga frame.
Kuna wakati naona bora hata jina Lugalo libadilishwe ili kulinda heshima ya Mtwa Mkwawa. Waipe jina la makamanda wao wa kidigital wanye mawazo ya ujenzi wa frem kuzunguka kambi za jeshi
Kwa tuliopo Dar kitambo hizo kambi zilikuwa maeneó sahihi, lakini sasa hivi kambi zote zimezingukwa na makazi mji umepanuka sana.Mkitaka kujua umuhimu wa Kambi za Jeshi katika mkoa muhimu ambao ni Lango la Tanzania ... Fanyeni zihame
Nafikiri kambi hazina shida, bali shida ipo kwa watu wa mipango miji hawana maono ya mbali
Jeshi lilipaswa kutengewa eneo la kutosha kiasi kwamba inakua ngumu kufika kwenye ina core ya jeshi
Kuna kipindi jeshi walimkodisha jamaa eneo pale gongo la mboto ndio kikawa kiwanja cha TNT, sasa hivi ndio Kumalija.Mbele Kituo Cha Mwendokasi Huoni Fremu Zetu Kuzunguuka Kikosi Chote
RubbishKwahiyo kwa uelewa wako kambi zikijengwa polini, hadui hawazi kuzifia. Hivi hujiulizi kwanini kambi ya gongolamboto kambi, kisarawe na kambi ya uwanja wa ndege zilijengwa karibukaribu.
Halafu nenda Lugalo, ukitoka Lugano nenda uhasibu.
Na ukishapata jibu jiulize tena mbona huko wanakopigana hatusikii leo, jeshi fulani wameshambulia kambi fulani, iliyejengwa poli fulani. Bali miji tu ndiyo inayoshambuliwa.
Acha kufuata mawazo ya wajinga wanaojifanya kujua kila maeneo ya watu, maana nawe utaingia kwenye ujinga.
Hoja, aombe kujengewa kituo cha mabasi gongolamboto, na siyo kuhamisha kambi eti sababu wanajengwa frem.
Nakushauri nenda pale gongo la mboto halafu omba kuonana na CO wa pale then mueleze haya maneno atakusikiliza maana nawajua wanajeshi ni watu waelewa sana. Tafadhali sana usisahau kuleta mrejesho mzee.Nadhani ifike wakati serikali yetu hata kama ina wajinga wengi basi tutumie nafasi yetu kushauri badala ya kukosowa tu.
Mimi si mtaalam wa mambo ya ulinzi lakini naelewa fika nimezaliwa Dar gongo la mboto ilikuwa iko wilaya ya kisarawe ni shamba.
Sasa kuwepo kambi ya JWTZ kwa kipindi kile ilikuwa sahihi, lakini sasa hivi dunia imehama hatuko huko tena kuna vita za kiteknolojia, haya makambi mijini ni useless kabisa.
Nimepita leo kambi ya gongo la mboto nimeshangaa kuona jeshi liko bize na ujasiriamali wa fremu za biashara kwa sababu kambi iko barabarabani hili siyo sahihi hii ni miradi ya watu wakubwa jeshini.
Gongo la mboto ni route ya magari mbalimbali ya safari za jijini lakini hakuna bus terminal, ni kwa nini kambi kama hii ya gongo la mboto isihamishwe na kupisha matumizi ya umma badala ya kugeuza eneo la jeshi kama mgodi wa watu flani?
Najuwa Rais hapendi kulikera jeshi lakini kwa hili hakuna manufaa yoyote kwa jeshi zaidi ya ulaji wa maboss wachache wa jeshi.
Muda wa kufumbia macho maovu na ufisadi kwenye jeshi letu umepita sasa ni lazima tuambiane ukweli, mama mulika makambi ya jeshi Dar, omba ushauri wa kisasa kwa Military analyst achana na wale wenye akili za kijima kwamba Zanzibar ni muhimu kwa Tanganyika kwa sababu za kiusalama, wewe waulize Iran aliporusha drones zake Israel alipitia nchi jirani?