Mzito Kabwela
JF-Expert Member
- Nov 28, 2009
- 18,857
- 7,618
hamia dodomaHapana sijalazimishwa isipokuwa wizi na uvunjifu wa amani.Hatutaki mabomu,majeruhi,vifo.
hamia dodomaHapana sijalazimishwa isipokuwa wizi na uvunjifu wa amani.Hatutaki mabomu,majeruhi,vifo.
Freeman Mbowe,Willibroad Slaa, Zitto Kabwe Peter Msigwa, Regia Mtema, Heche Suguta, Chiku Abwao Ezekia Wenje, Tundu Lissu, Kasululu Malima, Lazaro Masai, Jaffar Maiko, Godbless Lema na madiwani wengine wa Jiji la Arusha
Ndio maana hamtaki kuwavua magamba ili mgogoro uendelee Nape azidi kula ruzuku ya kuzunguka mikoani kuhubiri kitu kisichokuwepo.Hili ni kongamano, warsha, semina au ni mgao wa ruzuku? Ndio maana wengi walihamaki baada ya Mallah kumaliza huu mgogoro maana unafaidisha wengi sana.
<br />Hawana akili kila siku mikutano,maandamano watu tunataka kufanyakazi
Nape
Chadema kimeandaa mkutano mkubwa wa hadhara mjini Arusha Alhamisi wiki hii utakao ongozwa na Mwenyekiti wake Mhe. Freeman Mbowe Kwa kushirikiana na Katibu Mkuu wa chama hicho, Dk. Willibroad Slaa, Naibu Katibu Mkuu, Zitto Kabwe na wajumbe wa CC.
Wajumbe wa CC watakaokwenda kuhutubia mkutano huo ni Mbunge wa Iringa Mjini, Mchungaji Peter Msigwa; Mbunge wa Viti Maalum, Regia Mtema; Mwenyekiti wa baraza la Vijana Taifa wa chama hicho, Heche Suguta; Mbunge wa Viti Maalum, Chiku Abwao na Mbunge wa Nyamagana Ezekia Wenje.
Wengine ni Mbunge wa Singida Mashariki na Mnadhimu wa kambi ya upinzani bungeni, Tundu Lissu; Meya wa Manispaa ya Musoma, Kasululu Malima; Mwenyekiti wa Halmashauri ya Karatu, Lazaro Masai, na Mwenyekiti Manispaa ya Moshi, Jaffar Maiko. Pia atakuwapo Mbunge wa Arusha Mjini, Godbless Lema na madiwani wengine wa Jiji la Arusha.
Madiwani waliofukuzwa
Kutoka kushoto: Estomih Mallah wa Kata ya Kimandolu, John Bayo wa Kata ya Elerai, Ruben Ngowi wa Kata ya Themi, Rehema Mohamed wa Viti Maalum na Charles Mpanda wa Kata ya kaloleni.
Source: Nipashe
Utasemaje bado madiwani wakati hata mahakamani hawajafika au huo udiwani unawapa kwa mamlaka uliyojipa nyuma ya laptop.acheni uongo mbona shibuda hamkumfukuza, madiwani wa chadema bado ni madiwani halali wanaenda mahakamani kupinga kuvuliwa udiwani.
<br />kwani umelazimishwa kwenda?tuache sisi tusio na kazi(ajira)twende!