Sobangeja
JF-Expert Member
- Apr 10, 2011
- 401
- 354
Maamuzi ya CC_chadema ninayaunga mkono kwa 100% .Ni maamuzi magumu lakini yenye tija.Haiwezekani hata kidogo wateule wachache wanunue haki ya maelfu ya wtz wenye uchungu na nchi hii.
Potelea mbali ni bora kuwa na watu makini 2 kuliko kuwa na mia waliowasiliti.CDM safi sana na yeyote atakayekwenda kinyume na makubaliano ya CDM vukuzia mbali waenda kwa magamba yao!!!!!